Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Mashambulizi ya juzi air defense systems zote zilikuwa activated.
Naona mnaishabulia Iron dome pekee ambayo ni short range.
Vipi ufanisi wa David & Arrow 3?
Mkuu unataka kuzisema na David sling na Arrow 3 nazo ni dhaifu!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Israel inapaswa kujitafakari sana sana huu mwendo wanaoenda nao

Nimeona footage huko X chopa zinabeba maiti na majeruhi wa vita yake na Hezbollah.
 
Israel inapaswa kujitafakari sana sana huu mwendo wanaoenda nao

Nimeona footage huko X chopa zinabeba maiti na majeruhi wa vita yake na Hezbollah.
Ziko ngapi hizo maiti mkuu?
 
Hezbollah command centre hairekebishiki. Maofisa wa Iran hawarudi, maofisa wa Hezbollah hawarudi, Hamas haivamii tena.
Hamas haivamii tena sasa hivi au hata baadae!?Tukio la 2021 si mlisema hivi hivi Hamas haitavamia tena?Mbona Oktoba 7 ikavamia tena!?
Hata 2006 makao makuu ya Hizbollah yalivunjwa na miundombinu kibao ila yakajengwa upya na yakaendelea kutumika.Embu acha trivial reasons kaka.
Hizo ni roho zikitoka hazirudi.
Bado yajayo kwa Iran hanafurahisha.

Makao makuu gani yalipigwa? Kila kilichopigwa na Israel picha zipo, nipe evidence makao makuu yamepigwa. Makombora yalikuwa yanajidondokea bila shabaha halisi.
Acha UONGO mkuu sitarajii wewe uongope namna hii,kila mtu aliona video na picha humu ndani kuwa Nevatim airbase ililipuliwa na kuna majengo mengi yalilipuliwa ikiwemo ya shule.Uongo hauna faida bro kila mtu aliona majengo yaliyoharibika ndani ya Israel.
Hapa niongee kwa kifupi tu.
Israel hainunui kitu zaidi ya kupewa msaada wa kijeshi kutoka USA.
Juzi tu kapewa millitary aid of $ 8 billions.
Usiseme hakuna zilizoharibika zipo japo sio zote,kwani Israel ana airbase moja!?
Iran ina ballistic missiles nyingi zenye ufanisi kuliko Israel,Iran ana hypersonic missile je Israel anazo!?
Iran ana kila aina ya makombora na ana idadi mara kumi ya makombora ya Israel.
Ndio maana hapo middle east USA walishinikiza vikwazo vya silaha kwa Iran maana aliunda idadi kubwa ya makombora.
Intelijensia za wakubwa zinasema katika kila mkoa Iran ameweka tunnels ya missiles.Embu fikiria kila mkoa uweke handaki la makombora
Iran ana air defence system nzuri kuliko hata za huyo Israel.
*Bavaar 373.
*Khordaks
Na hii mifumo ilionesha ufanisi,unakumbuka 2013 vile vidrone vya USA vilipoingia anga la Iran vikashushwa pasi na kulipuliwa!?
Sasa mwambie Israel wako apeleke hizo F-35 uone atachokutana nacho.
Kama Juzi Iran ilivyomshambulia kwa makombora basi ndivyo itavyomshambulia tena.
Iran anazo fighter jets ngojea nakuletea majina yake.
Pia ana kamikaze drones zenye ufanisi zenye uwezo wa kupenya Israel pasi na kutambulika.
Usisahau ile drone ilotoka Yemen 2000km ikapenya Tel Aviv na kulipua ni Iranian made.
Sasa Iran anazo kama zote daily anaziunda.
Wakati yeye anahangaika na F-35 zake sisi tunatwanga hypersonic missiles tu hadi adate.
Kwahiyo mkuu Global fire power kuiweka Iran ya 14 na Israel ya 17 wamepuyanga!?
Embu achana na assassination attempts zilizotokea nyuma.
Tunazungumzia ground invasion aliyofanya Israel halafu akarudishwa nyuma.
Kitendo cha kupoteza askari 14 ON THE SPOT kwa wakati mmoja inaonesha ishara mbaya sana.
Yani 14 on the spot!?
Na wakati huo Hizbollah hajapoteza askari hata mmoja.
 
Nimeuliza tu.
Maan naona kila mtu Iron dome imefail as if ilikuwepo peke yake.
Ballistic Missile mhusika mkuu ni Arrow 3.
Muhusika naye kashindwa kazi alooπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Lawama akatupiwa dogo iron dome.
 
wamepigwa sana tu, na wameumia. ni kitu kibaya. lakini cha kusikitisha ni kwamba, hakuna hata siku Moja marekani aliwahi kutamka wazi kwamba Israel ilipize ila iwe proportional. kipindi cha nyuma walikuwa wanawazuia, ila sasaivi wamesema anatakiwa kupiga iran, so any time watapiga na hawajui watapiga wapi. Iran amehaha, amesema yeye ameshapiga na hatapiga tena, manake anaogopa kuendelea kupigana. Jana Rais wa Iran kakimbilia Qatar ambao siku zote wamekuwa wasuluhishi, anaomba poo. alifikiri ni utani na baada ya kuona hata marekani imesema israel ipige, ameshaona kifo kinamjia.

Iran inaogopa sana kinu chake cha nuclear kupigwa, visima vyake vya mafuta, na kituo cha kutengenezea umeme ambacho kikipigwa watakaa giza kabisa au la watumie majenereta, na viwanda vitasimama. hofu imewajaa. sipendi watu kuuuana lakini wamefanya kitu kibaya kupiga Israel. why?

1. Iran imekuwa ikisapoti vijana warushe rocket Israel kwa miaka mingi (huthi, hezbollah na hamas),

2. kila wanapoua magaidi ya hezbollah, walikuwa wanauliwa na majenerari wa Iran, hata kwenye kikao cha juzi majenerari wa iran waliuawa wakiwa wanawaelekeza hezbollah namna ya kupiga israel.

3. kwa sababu hizo, iran hawezi leo hii kuibuka na kusema alichokozwa na Israel, yeye ameshakuwa akifanya hivyo kitambo sana na yeye ndio mchokozi.
 
Unanipiga risasi nikiwa nimevaa bulletproof vest, vest inazuia alafu unasema una roho nzuri?
Mbona mfanano haulingani mkuu!?
Kama yale makombora yalipenya na kupiga maeneo ya jeshi je wakiamua yapige raia hawataweza!?
 
Israel inaimudu Iran ?sasa mameli ya Marekani yana tafuta nn hapo mashariki ya kati?
Marekani ilikuwa inapangua makombora ya Iran kwa nn?
Vikao vinavyo endelea sasa hivi kati ya Marekani na Israel jinsi ya kulipiza kisasi ni vya nn?
Saa nyingine uwe na aibu.
Israel hata kwa hamas alikuwa anategemea silaha za Marekani sembuse Iran?
 
Nikuulize swali ,je wewe unajua kuwa mtambo mmoja wa Iron dome,una weza ku intercept missiles ngapi na ndani ya muda gani??
Maana hapo mleta uzi kasema out of 10, the iron dome takes out 1, how far can you go to provide us with a proof?
Muite T14 Armata akueleze.
 
US, Russia and China both develops hypersonic missiles.

Iran's Fattah-1 missile boasts a range of 1,400 kilometers (870 miles)
Israel's Jericho-3 range between 4,800km (2,983 miles) and 6,500km (4,039 miles).
Iran ana makombora yenye kasi zaidi.
Ana varieties of missiles ambazo nyingine hajawahi kutumia hata siku moja.
 
Nikuulize swali ,je wewe unajua kuwa mtambo mmoja wa Iron dome,una weza ku intercept missiles ngapi na ndani ya muda gani??
Maana hapo mleta uzi kasema out of 10, the iron dome takes out 1, how far can you go to provide us with a proof?
Wengi wanaandika kiushabiki tu.
Kwanza iron dome haitungui makombora yote, inatungua yale ambayo ni threats,
It ignore incoming threats it determines will land in uninhabited areas.
 
Wewe huna akili kabisaaaa.
Kwahiyo unafikiri wanaposema iron dome unafikiri ni mtambo mmoja tu unaofanya kaz ya interception??
Iko mingi katika mpangilio maalum. Jielimishe kwanza kabla hujaja kwa watu wenye akil zao
Sawa hata kama Iko mingi, nilichosikia wataalamu wakisema ni kuwa anchofanya Iran ni kurusha makombora mengi kwa Wakati mmoja. Kwa hiyo hapo Kuna yatakayozuiwa na Kuna yatakayopenya. Hakuna teknolojia isiyo na udhaifu wake Mkuu. Hakuna.
 
Iran ana makombora yenye kasi zaidi.
Ana varieties of missiles ambazo nyingine hajawahi kutumia hata siku moja.
Ulikuwepo kiwandani bila shaka wakati yanatengenezwa.
Kwamba makombora ya iran ni superior dunia nzima?
Maana umekiri hajawahi yatumia hata siku mmoja, vipi kama ni mindset game tu?
 
Itadepend na unit ya hiyo radius. Kama ni mm, cm au in hata ft si rahisi kufa raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…