Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Russia na Iran Wana ubinadamu siyo kama wazungu, USA, UK, France, Israel hawa ni Chinja Chinja hawana huruma na mtu kama Israel anavyofanya uko Gaza, na USA alivyofanya uko Iraq, Syria n.k
Russia ana ubinadamu!? Au sio!? Labda tumuulize Ukraine ubinadamu wa Russia.
 
Huyo jamaa uliyemjibu hata Mimi huwa namuona ni mtu ambaye Yuko well informed. Ila kwa hili naona amekuwa na ushabiki wa kijinga wa kujitoa akili kabisa. Ameshindwa kuwa impartial. Ni kama wale wafia dini walivyolewa na dini zao.
 
Shambulizi hili la Iran ni kulipa kisasi cha kuuliwa Haniyeh ndani ya Tehran na kuuliwa makamanda wake pale Lebanon.
 
Ulikuwepo kiwandani bila shaka wakati yanatengenezwa.
Kwamba makombora ya iran ni superior dunia nzima?
Maana umekiri hajawahi yatumia hata siku mmoja, vipi kama ni mindset game tu?
Mkuu mie ni shabiki mkubwa sana wa muajemi.
Kila anapoijaribu silaha mpya basi mie hukaa na kutizama mtandaoni japo sio live ama ana kwa ana.
Mie nimesemea middle east habari za dunia nzima umezileta wewe kaka.
Kwa middle east Iran ndio ana missile power kubwa kuliko taifa lolote mkuu.
 
Iran ina ADs zenye nguvu za kuzuia silaha za Israel kama Jericho?

 
Nini zaidi? Na yeye atarusha makombora yakimarekani akisaidiwa na mashetani wenzake wamarekani, waingereza na nato.

Hawana kipya.
Wewe ambaye uko nchini Mwako ndiyo unadai hawana kipya. Ila walioko kwenye hayo maeneo, wanaojua maumivu ya hayo makombora hawana hamu.
 
Bora ukutane na jeshi kamili kuliko hao migambo kama wakule kongo,nizaid ya jeshi pia katika hao unaosema migambo wapo wanajeshi kibao,wa Irani Yemen Kuna wanajeshi wa Syria pale Kuna Kila aina unaoijua wewe,lakini bado wanachezea, na hamna vita ngumu kama yakupigana na hao magaidi maana wanakujaga tu hawaishi kama wa vetnam, lakini wamekutana na myaudi kazi nimoja tu kuwawahisha kwa Allah wakapate mabikira wanao wawaza..(afu Sina upunguan mzee.nina mizuka yangu)
 
Iron dom ni kwaajili ya short range rockets kama za hamas au kutokea lebanon na sio ballistic missiles muwe na akili bas hayo madude makubwa mno na yalikua intercepted kwa asilimia kubwa ndio maana damage ni hafifu mno ,uo mzigo ungetumwa iran saiv ingekua kama gaza vijijini
 
Vipi ume conclude kwa kuangalia upande wa iran pekee.
Umewahi fatilia projects za wayahudi? Unajua kama anatengeneza defense system kwa ajili ya hypersonic missiles? Je ile iron laser beam inayoanza kazi 2025 je unaijua?.

Iran anatengeneza siraha kwa wingi maana anajua lazima awagawie washirika wake.
Israeli anatengeneza siraha kwa uchache ili ajikinge, ndio maana ana concentrate sana kwenye high tech.
 
Sawa hata kama Iko mingi, nilichosikia wataalamu wakisema ni kuwa anchofanya Iran ni kurusha makombora mengi kwa Wakati mmoja. Kwa hiyo hapo Kuna yatakayozuiwa na Kuna yatakayopenya. Hakuna teknolojia isiyo na udhaifu wake Mkuu. Hakuna.
Kwenye hili wala sipingani na wewe chief uko sahihi kabisaa. Nilikua napingana na mleta uzi maana ali exaggerate
 
Ahahahaha mkuu kwahiyo unamaanisha yale machuma chuma ya s400 ya mrusi yasinge perform?
Today : Israel has struck a Russian arms depot in Hmeimim Air Base on the coast of west Syria near Jableh. Both Syrian and Russian air defenses were active but failed to intercept the strikes.
 
Today : Israel has struck a Russian arms depot in Hmeimim Air Base on the coast of west Syria near Jableh. Both Syrian and Russian air defenses were active but failed to intercept the strikes.
Mrusi kawekeza sana Syria na Iran ndio maana Putin alionya. Sasa sijui nin kitafuatia
 
Itadepend na unit ya hiyo radius. Kama ni mm, cm au in hata ft si rahisi kufa raia.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa kaka kuna bomu litakuwa na radius ya mm kweli? Balistic Missile radius zake hapo unaongelea meters tena kuanzia two digits to three digits kwenye
 
Uwezo wa Israel kujilinda Iran anataka kuchukua credit kwamba ameepuka kuua raia.

Ndo hapo sasa, yaan upige mtu risasi alie behind bullet proof glass kisha useme sikuwa na mpango wa kumuua nilikuwa namtisha, kama kumtisha piga hewan au ardhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…