Hizi ndizo Shahada za Heshima na Tuzo alizotunukiwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Unaandika maneno meeengi yasiyo na tija..

Kwa hiyo kabla ya Vita Nchi ilikuwa na Neema si ndio? Mlikuwa na majibya kutosha, miundombinu ya kutosha,chakula Cha kutosha, Uchumi mkubwa nk?

Toa ujinga wako hapa wa kutetea failures.
 
Kwa vile una akili mbovu huwezi kutambua mchango mkubwa ninaokusaidia kunyoosha akili yako iliyoathirika.
Mjinga Kama wewe kutwa kucha kulalamika na kulaumu utakuwa na mchango gani?

Utakuwa unalaumu na kulalamika hata familia yako badala ya kuleta majibu fala wewe.
 
Ndugu yangu Nyerere katuachia utajiri mkubwa sana,madini yapo,mito na maziwa,mbuga za wanyama, mlima Kilimanjaro, amani na utulivu vipo sasa unamlaumu kwa lipi familia yake yenyewe masikini kila kitu ametuachia sasa sijui unamaanisha nini?
Duuuu !!! Utajiri mkubwa ni mito na maziwa? Kwani alivihamisha kutoka sehem nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga Kama wewe kutwa kucha kulalamika na kulaumu utakuwa na mchango gani?

Utakuwa unalaumu na kulalamika hata familia yako badala ya kuleta majibu fala wewe.
A skunk will always be a skunk, only good at what any skunk is good at,... emitting foul odor at every chance it gets
 
Bd haitoshi kufananisha vitu vya maana na upuuzi mamboleo[emoji848]
 
Duuuu !!! Utajiri mkubwa ni mito na maziwa? Kwani alivihamisha kutoka sehem nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya mito, maziwa na bahari? Hujui kwamba ziko nchi zingine duniani zinaishi na kuendesha nchi zao kwa uvuvi wa samaki tu? Wewe unamlaumu Nyerere aliyefariki wakati uko karibu na bahari zimejaa utajiri wa samaki nenda ukavue upate pesa acha kujitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…