Basi sawa mkuu...๐Kwa taasisi au kwa serikalini ni mkubwa
Maji ya kifuu ni bahari ya chunguMleta mada chenga tu yani anaongelea salary ya mwalimu wa chekechea 1.5
umeridhikaBasi sawa mkuu...๐
ushazipata huwezi sema kama huna helamshahara ni utumwa
AiseeMaji ya kifuu ni bahari ya chungu
umeshaugua
Haya leta taasisi zako za serikali zenye misharahara zaidi ya hizo (lakini ziwe za afya)Hamna lolote hapa usidanganye watu
Mishahara bado haikidhi mahitaji
Kazi ni nyingi mno
Nipee iyo kazi mkuuKama upo veri tafu na ni jasiri kuna sekta ya uafisa kwenye mapori ya Longido ipo wazi๐ผ
Hivo eeeh ๐คฃ๐คฃ๐คฃ basi sawaMaji ya kifuu ni bahari ya chungu
Kwaiyo ww mshahara wako ni sh ngpa Evelyn SaltHivo eeeh ๐คฃ๐คฃ๐คฃ basi sawa
Mshahara wangu unagonga hapo uliposema minono ndio maana unavosema mishahara minono ya huko nimeshangaa.....Kwaiyo ww mshahara wako ni sh ngpa Evelyn Salt
PM yako unafungua saa ngap tutete jambo๐๐Mshahara wangu unagonga hapo uliposema minono ndio maana unavosema mishahara minono ya huko nimeshangaa.....
Sikopeshi ๐น๐น๐น๐นPM yako unafungua saa ngap tutete jambo๐๐
Walaah mi nataka independend woman wakubadilishana mawazo๐Sikopeshi ๐น๐น๐น๐น
Nimeamua kukupuuza tuumeridhika
.umeshaugua