Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Umelalamika hadi umetia huruma, Ila hayo ndio madhara ya wale wanawake wa framework kutoka Harvard mnayoyafagilia ya 50/50. Si mnataka haki sawa basi vijana wa leo wamewakomoa hata kwenye mambo hayo wanataka mjitegemee 50. Ila burudan muwape kama kawaida. Na tunakoelekea mtatoa mahali kama hutaki ndoa hakuna.
Nimelalamika hadi nimetia huruma? Aise nazidi kuamini kwamba wanaume ukweli unawauma na hamtaki kuukubali yaani umejibu kwa ubishi na hasira halafu ni kama umejifurahisha tu sasa unaposema mnatukomoa kwa sababu ya huo mfumo wa haki sawa unamaanisha nini? Kama mnataka tuwasaidie kutafuta pesa kwa usawa basi na nyie mtusaidie kufanya kazi za ndani kwa usawa au mnaonaje?

Jiulize kwanini mwanamke akitafuta pesa inakuwa ni yake peke yake hafanyii chochote kinachohusiana na familia? Ni kwa sababu ya mgawanyo wa majukumu haiwezekani wewe utafute pesa tu halafu mwanamke atafute pesa na bado afanye kazi za ndani kwa mtindo huu pesa ya mwanamke itaendelea kuwa ya mwanamke tu

Na mtaendelea kulalamika kama mnavyolalamikaga siku zote halafu unajifanya haujui chanzo cha mfumo dume si ndiyo? Mfumo dume umetokana na manyanyaso na mateso ya wanaume kwa wake zao eti kisa tu wake zao wanawategemea kwa kila kitu ndo wanawake nao wakaona isiwe shida acha waanze kujitafutia pesa zao

Kwani wanaume mngekuwa mnawahudumia tu wake zenu bila kuwanyanyasa wala kuwatesa haya mambo ya haki sawa na wanawake kutaka kujitafutia hela yangetoka wapi? Wanaume ndiyo chanzo cha mfumo wa haki sawa kwa sababu hamkutaka kutimiza majukumu yenu hata tulipokuwa katika kipindi cha mfumo dume
 
@Edelyn, Hlo jina feminist sjakuita kwa sababu ya hii Mada kwa sababu ya maoni yako kwenye mada zilizopita unakuwa against us Sana unapinga ukwel.

Back to this topic akitafuta yeye sio mbaya anarahisisha mambo japo atambue nafasi yake
 
Na nyie mkome kutuita kwenye vi ghetto vyenu kama kile cha billnenga
 
Automatically msumeno ukate pande 2,sio kwa 'me'wawe selective,hata nyie 'ke'ni lazima muwe selective.Msijirahisishe tu kutoa mbunye ovyo kwa mafala fala.Zingatieni %50 na zaidi,sio chini ya %50.Vinginevyo maji ya moto/uvuguvugu yahusike.

Ukitumia mbunye kwa akili itakufaidisha,vinginevyo utakaribisha mashimo na mahandaki ya kukusanya maji hatimaye bwawa kujiumba na hatimaye ziwa.

Sawa kiongozi wangu Edelyn?

Sawa nakubali sasa ndo nauliza na wanaume nao wafikishe walau %50 ndo wapewe mahaba na wanawake chini ya hapo hawastahili au?
 
Hlo jina feminist sjakuita kwa sababu ya hii Mada kwa sababu ya maoni yako kwenye mada zilizopita unakuwa against us Sana unapinga ukwel.

Back to this topic akitafuta yeye sio mbaya anarahisisha mambo japo atambue nafasi yake
Siwezi kuwa against nyie bila sababu huwa ninapinga pale ninapoona hapa mnaongea kwa sababu tu nyie ni wanaume ila hamuongei kwa kutetea uhalisia haya tukirudi kwenye mada wanaume mnapokosea ni hapo mnapotaka wanawake wawasaidie kutafuta pesa halafu nyie hamtaki kuwasaidia kazi za ndani na ndo maana pesa ya mwanamke siku zote ni ya mwanamke kwa sababu fikiria wewe unatafuta pesa tu ila yeye anatafuta pesa na bado kazi za ndani anafanya sasa hapo nani anakuwa ana majukumu mengi?

Hakuna mwanamke anayependa kufanya majukumu mengi kuliko mume wake ukizingatia wanawake tuliumbwa wasaidizi kwa wanaume sasa inakuwaje msaidizi afanye majukumu mengi kuliko mkuu yaani eti makamu wa rais afanye majukumu mengi kuliko rais sasa hapo atakuwa msaidizi tena? Na ndo maana siku hizi malalamiko yamekuwa mengi kutoka kwa wanaume kuwa wake zao hawana heshima na utii

Hamuoni kuwa tatizo ni mizigo ya majukumu mnayowatwisha usitegemee mwanamke afanye majukumu mengi kuliko wewe halafu eti bado awe chini yako wanaume chagueni moja kati ya haya mtafute pesa wake zenu wafanye kazi za nyumbani, wote wewe na mkeo mtafute pesa na mfanye kazi za ndani kwa pamoja au wote mtafute pesa halafu muajiri mfanya kazi afanye kazi zote za nyumbani

Sema hapa kwenye kuajiri mfanyakazi wanaume inafika kipindi mnaaza kulalamika eti "oh mke wangu kajisahau sana siku hizi anamuachia kazi zote mfanyakazi hadi chakula changu anipikie mfanyakazi nguo zangu anifulie mfanyakazi" mwisho mnaishia kutembea na hao wafanyakazi kwa hicho kisingizio sasa kama ulitaka mkeo afanye hayo yote si usingetafuta mfanyakazi ukamuacha mkeo nyumbani awe anakufanyia hayo yote halafu wewe unamhudumia mahitaji yake kiuchumi? Wanaume matatizo mengine mnayatafuta tu nyie wenyewe halafu baadaye mje mtutupie lawama wanawake kama kawaida yenu
 
@eyamangoHahahaha sawa mkuu nimekuelewa.
 
Ohooooo,cheka tu wewe,wanaume misumari muda wote imechongoka inatafuta mbao ya kupigilia ili bati likae sawa,suruali tu zinaficha mengi,ingawa romantic men/handsome wameshughulikiwa na chips,vyakula vya kisasa na life style vimewaharibu,vitambi kama wana mimba na makalio makubwa zaidi yako Edelyn.

Kazi hawaziwezi ndio maana nyie misista duuu mnakimbilia misumari kwa hawa men below 50%.

Sawa Mkuu?
Hahahaha sawa mkuu nimekuelewa.
 
Hizi jinsia 2 bwana. ...Yaani zime kuwa hasimu sana. Dah! !! Mkimaliza kubishana mniambie nizime taa wenyewe tuna taka tulale. ..kama vipi muende makwenu ..usiku tayari u-mesha tamalaki
Na nyie mkome kutuita kwenye vi ghetto vyenu kama kile cha billnenga
 
Ohooooo,cheka tu wewe,wanaume misumari muda wote imechongoka inatafuta mbao ya kupigilia ili bati likae sawa,suruali tu zinaficha mengi,ingawa romantic men/handsome wameshughulikiwa na chips,vyakula vya kisasa na life style vimewaharibu,vitambi kama wana mimba na makalio makubwa zaidi yako Edelyn.

Kazi hawaziwezi ndio maana nyie misista duuu mnakimbilia misumari kwa hawa men below 50%.

Sawa Mkuu?
Mimi kwa kweli mwanaume hata awe na kibamia ili mradi ananipenda ananijali hanisaliti haninyanyasi anatimiza majukumu yake yote na ananipa uhuru huyo ananifaa kabisa
 
Duh! !! Kwahiyo kumbe Edelyn ana makalio makubwa ---!!? .. nitamtafuta nahitaji kuongea nae masuala ya kiroho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha uhuni wewe kijana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa na hongera sana kwa moyo huo.Ubarikiwe.
Mimi kwa kweli mwanaume hata awe na kibamia ili mradi ananipenda ananijali hanisaliti haninyanyasi anatimiza majukumu yake yote na ananipa uhuru huyo ananifaa kabisa
 
Back
Top Bottom