Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Uhuni vipi! !? Hautaki kuokoka. .Bwana ana kuhitaji umtumikie ''Fanya tujuane aise -haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha uhuni wewe kijana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Woow afadhali vibamia Tumekumbukwa '.. At last mungu amejibu maombi yangu ya muda mrefu ---nilivyokuwa naomba ya kumpata mke mwema
Mimi kwa kweli mwanaume hata awe na kibamia ili mradi ananipenda ananijali hanisaliti haninyanyasi anatimiza majukumu yake yote na ananipa uhuru huyo ananifaa kabisa
 
Wanaume wa siku hizi kwa kulalama..gubu zitaisha lini? Kha! Hiyo yote kukwepa jukumu la kuombwa pesa tu
 
Mi nashangaa mwanaume mzima analalamika kuhusu mademu njaa kali mara sijui akimuita ghetto lazima amuombe nauli kwani anakwama wapi kumuita Demu wa kishua
Hizi jinsia 2 bwana. ...Yaani zime kuwa hasimu sana. Dah! !! Mkimaliza kubishana mniambie nizime taa wenyewe tuna taka tulale. ..kama vipi muende makwenu ..usiku tayari u-mesha tamalaki
 
Cha kushangaza mleta Uzi ni walewale wanaume wenye njaa..mwanaume mwenye pesa na kujua majukumu yake hawezi lialia ovyo

Note:Ndege wanaofanana huruka pamoja
 
Haya mambo yanachangamoto sana,kuna siku mchepuko wangu uliniuliza swali usiponitimizia wewe mahitaji yangu unataka nani anitimizie?Nilikaa kimya nikafikiria sana......ukipenda kitu kizuri ni kugaramika tu,hakuna namna.
Yeye hawezi kujitimizia au ni dada wa nyumbani?
 
Naona mademu njaa wamepanic sana katika huu Uzi ,jiwe gizani
="yna2, post: 31881191, member: 501669"]
Cha kushangaza mleta Uzi ni walewale wanaume wenye njaa..mwanaume mwenye pesa na kujua majukumu yake hawezi lialia ovyo

Ndege wanaofanana huruka pamoja
[
 
Mimi nimezungumzia utafiti wangu jinsi mabinti wa familia njaa lifestyle yao ilivyo naona wadada mnanishambulia,Mimi sina njaa kabisa
Hahahaha

Bado sijaona cha kunipanikisha ..ila ukweli ndio huo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kwani kuna ubaya au ajabu mwanamke kutokuwa na hela na kumuomba mpenzi au mume wake hela? Yaani wanaume mnajisahau kwamba ninyi ndo mliambiwa mle kwa jasho lenu ila wanawake hatukuambiwa hivyo

Sasa nashangaa leo hii jamii inalazimisha mwanamke naye ajitegemee halafu ndo nyie nyie mnaosema hamtaki haki sawa sasa hamtaki haki sawa halafu mnataka wapenzi wenu au wake zenu wasiwaombe hela?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mke kumpa pesa wala sio ishu, ishu ni mpenzi kuitaka pesa as if ni obligation yangu kwake. Wadada mnatakiwa muelewe hili, unapopata mpenzi hujapata mtatuzi wa mambo yako ya kiuchumi!
 
Wale masikini wenzangu tusife moyo.... Ipo siku yetu tutainuliwa
 
Sawa kaka don..nikutakie usiku mwema
Mimi nimezungumzia utafiti wangu jinsi mabinti wa familia njaa lifestyle yao ilivyo naona wadada mnanishambulia,Mimi sina njaa kabisa
 
Back
Top Bottom