Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Kwani tunapo waoa mnavojifanya wema unaweza hata kushtukia,shida zinaanza mbele huko mmeshazaa na watoto...
 
😅😜
 
Wewe utakua mchepuko
 
Ngoja niache kusoma comments aiseee Kuna malaika namdate mtaanza kunifanya nimchukie
Uzuri wa haya mambo hata ukiskia mtu kauliwa kwenye ndoa ukiwa bado hujaoa but uko katika utimamu wa mwili na akili basi kuna umri ukifika unajiskia kabisa moyoni msukumo wa kutaka kuoa, na hauji kidogo unakuja kwa kasi sana then booom unajishtukia uko ndani ya ndoa.
 
Hahaha mwenzako alikuwa stranded kituoni Leo hajui anapoenda
Huwa namuonea huruma sana mtu anayeingia kwenye ndoa, nikienda kwenye sherehe ya harusi nawaangalia wanavyo cheza wanavyo furahi na kushangilia na kushangiliwa na kupongezwa ila nawaonea huruma mno.
 
Anaepusha shari maamuzi mazur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…