Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Niko hapa kituo flan cha daladala
Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi.
Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye sura na maongezi ya upolee yuko busy anaongea na simu....
Anaonekana anaongea na mshkaj wake anamuelezea Mambo ya familia yake.... Yaani anasema hapo alipo hajui hata anaenda wapii Ila hawezi Kurudi nyumbani kwa Yule mwanamke maana anaweza kumpasua akamuua akapata kesii. Bora akae kituo cha daladala.
Badae nkamsikia anasema ".....basi ngoja nichukue daladala nikufwate Nije huko Mara Mia ....". Akadandia daladala huyooooo akatokomea na gari ya bunju.

Sasa jamani mnaishi na Simba ndani kwamba Bora ukae kituo cha daladala kuliko nyumba ambayo mkeo mpendwa uliyemlipia mahari huenda kubwa anaishi?? Ilikuwaje ukamuoa mtu wa hivi? Ni mhemko au?
A see ndoa zimegeuka ndoano kwa wengi Ila ishini humo Hadi mfe tuwazike.
Asanten.
Kasome Mithali kwanza
 
Kamtamani sana mume wa mtu sio kwa misifa ile aliyompa, jamaa angemtongoza angepewa mbususu

Adui ya mwanamke ni mwanamke
Kwalweli alivuta hisia zangu nkawa nawaza hivi mwwnamke anaanzaje mkumstress mwanaume aina ile? Ili ujue nilimfwatilia Sana Najua had rangi ya sendo alizovaa
Kadet OG aliyovaa shati had sura naikumbuka japo kulikuwa na kagizaa
 
Hahahaa halafu nyinyi wanawake mnaoneana wivu hakunaga mahali stori za wanawake zinanoga kama wakisikia mwenzao kaachika tena itokee mwamba ana kibunda

Kisaikolojia huyu mleta uzi anatamani sana yule mke wa jamaa waachanne amini ninachosema
Asishangae akaliwa na kuachwa yeye, si mnajijua mambo yenu, muonekano wa hela hela nao umechangia lakini kumchanganya cacutee kukimbilia stendi na kumpigia rafiki yake ni wazi hana mchepuko

Kwenye hili nimejifunza kuwa mwanaume ukimchanganya ndani mpk kukimbia jua umemsukuma mwenyewe kwenye mikono ya mwanamke mwingine, kuna mtu aliwahi kunambia hiki kitu, nadhani nimepata uhakiki sasa
 
Ukipiga mashine vizuri viungo vyote vya mwili vinachoka, bibie anakuwa mpole; wengi huwa tunazembea sana tunapokuwa kwenye 18, na hii ndio inayoleta kudharauliwa.
Itakua una umri mdogo,hujaona mengi,kouma haina shukurani,no kama tumbo tu,haijalishi limeshiba kiasi gani,litataka kula soon,na litafurahi zaidi likila chakula tofauti
 
Back
Top Bottom