cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
- Thread starter
- #101
Umeona eeh na Sisi tutampokea kwa mikono miwili af uje utume wajeda 5 watusulubishe bila maji. Kumbe kosa ni lako.Asishangae akaliwa na kuachwa yeye, si mnajijua mambo yenu, muonekano wa hela hela nao umechangia lakini kumchanganya cacutee kukimbilia stendi na kumpigia rafiki yake ni wazi hana mchepuko
Kwenye hili nimejifunza kuwa mwanaume ukimchanganya ndani mpk kukimbia jua umemsukuma mwenyewe kwenye mikono ya mwanamke mwingine, kuna mtu aliwahi kunambia hiki kitu, nadhani nimepata uhakiki sasa
Unamstress mtu had akose direction
