Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

Kutunza uwanja (pitch) hii pia ni taaluma tena kubwa
Nadhani tunakoelekea hizi fursa zitafunguka..si unaona sasa hv upande wa marefa kuna vijana wadogo tu wanachezesha...

Hili jambo linatakiwa kufanyiwa kazi pale Mwika Chuo cha Michezo..hebu lijengee hoja kwa kulijazia nyama lina points ndani yake
 
Yeah tena itasaidia sana..Germany waliamua kufundisha mpira ktk fursa zote kwa vijana ndio maana ktk ligi zao unaona makocha na benchi la ufundi ni vijana tu ..wazo zuri mleta mada kaleta
Aah Germany wako serious mno kwenye biashara ya mpira tena ni experts sana
Nchi yetu imebana sana maarifa ndio maana kwenye soko la kimataifa ukimkuta mtz unashtuka si elimu ni history physics chemia bios geography n.k
Hatupendi kusikia event planner/manager ,foods expert ,mpira n.k
 
Nadhani tunakoelekea hizi fursa zitafunguka..si unaona sasa hv upande wa marefa kuna vijana wadogo tu wanachezesha...

Hili jambo linatakiwa kufanyiwa kazi pale Mwika Chuo cha Michezo..hebu lijengee hoja kwa kulijazia nyama lina points ndani yake
Ni kweli kwenye urefa tunakuja vizuri ila lugha bado ni shida nadhani tunakoelekea ni pazuri shida yangu ni tunaanzia juu sana hii inapaswa kuanzia darasa la Tano mtoto akiwa na 10yrs
Mambo mengi tunangoja mtoto a fail form four ndio tuanze kumfundisha
 
Nadhani ni mkakati maana si bure ujue ..hayo usemayo ni kweli kabisa....michezo na fursa zake sio kipaumbele cha taifa....maana hizo fursa ulizosema ni kwa upande wa soka tu vipi ktk michezo mingine?

Huwa nasemaga Tanzania michezo si kipaumbele na kwa sababu ni kitu kinachohusisha masikini..so wakiwezeshwa watasumbua
 
Na Malya ila huku ni juu sana inabidi kurudisha zama za kina Makongo ili kupata watalaam wa michezo
 
Ni kweli kwenye urefa tunakuja vizuri ila lugha bado ni shida nadhani tunakoelekea ni pazuri shida yangu ni tunaanzia juu sana hii inapaswa kuanzia darasa la Tano mtoto akiwa na 10yrs
Mambo mengi tunangoja mtoto a fail form four ndio tuanze kumfundisha
Ni kweli, mtoto akifika form four ashajua yuko ktk fursa gani..then liwe jukumu la kuikuza na kuwa expert zaidi ktk hili eneo
 
Tukiongelea Facts ukiachana na Simba na Yanga labda na Azam kwa Bongo na hata ulaya kuna timu kama tatu kila nchi (nyingine kwa mikopo na madeni mpaka kwenye kope) Timu / Vilabu vingi vimepigika.....

Kwahio ushauri tu ingia kwenye tasnia fulani ukiwa na mapenzi ya hio Tasnia ili mambo yakienda kombo atleast utakuwa unafanya unachopenda..... Industry ina pesa ila vilabu vingi na wachezaji wengi (ukitoa creme de la creme) wamepigika....
 
Nadhani ni mkakati maana si bure ujue ..hayo usemayo ni kweli kabisa....michezo na fursa zake sio kipaumbele cha taifa....maana hizo fursa ulizosema ni kwa upande wa soka tu vipi ktk michezo mingine?

Huwa nasemaga Tanzania michezo si kipaumbele na kwa sababu ni kitu kinachohusisha masikini..so wakiwezeshwa watasumbua
Hata mi nasema Tanzania michezo sio kipaumbele na ukiona imekuwa kipaumbele jua siku hiyo Kuna mwanasiasa ana jambo lake au wachache wanataka kupiga hela
Back in Germany wao hasa vijana wanakataa hizi programe za kukaa miaka rundo chuo wanataka kusoma haraka waanze maisha
Wengi utawakuta kwenye ufundi ,music,ujenzi wa kisasa,kilimo Cha kisasa,uendeshaji wa machines,michezo aina zote na masuala ya mapishi na utalii
Hizi course za daktari,uhasibu,uchumi na fujo zingine wameachia wahindi na afrikans so Mjerumani anaanzisha kampuni ya usafi maana kasomea anaajiri foreigners kuendesha ye anaenda kwenye match ya Bayern
 
Tukiongelea Facts ukiachana na Simba na Yanga labda na Azam kwa Bongo na hata ulaya kina timu kama tatu kila nchi (nyingine kwa mikopo na madeni mpaka kwenye kope) Timu / Vilabu vingi vimepigika.....

Kwahio ushauri tu ingia kwenye tasnia fulani ukiwa mapenzi ya hio Tasnia ili mambo yakienda kombo atleast utakuwa unafanya unachopenda..... Industry ina pesa ila vilabu vingi na wachezaji wengi (ukitoa creme de la creme) wamepigika....
Inawezekana vilabu kuwa vimepigika ila taaluma Yako ukaendelea kuzifanyia kazi
Club ni kama kampuni au biashara zingine Kuna wakati huyumba au hata kufa kabisa ila wale watalaamu huendelea na maisha hata kwenye club nyingine
 
Hata mi nasema Tanzania michezo sio kipaumbele na ukiona imekuwa kipaumbele jua siku hiyo Kuna mwanasiasa ana jambo lake au wachache wanataka kupiga hela
Back in Germany wao hasa vijana wanakataa hizi programe za kukaa miaka rundo chuo wanataka kusoma haraka waanze maisha
Wengi utawakuta kwenye ufundi ,music,ujenzi wa kisasa,kilimo Cha kisasa,uendeshaji wa machines,michezo aina zote na masuala ya mapishi na utalii
Hizi course za daktari,uhasibu,uchumi na fujo zingine wameachia wahindi na afrikans so Mjerumani anaanzisha kampuni ya usafi maana kasomea anaajiri foreigners kuendesha ye anaenda kwenye match ya Bayern
Ukifika lubumbashi utammona public gym zipo zimetengewa maeneo maalumu ..kuna viwanja vya basketball kuna kituo kikubwa.
 
Club za kuwaajiri hao watu na kuwalipa pesa nzuri ya kujikimu ni chache kuna club inatembeza bakuli hata kuweza kuwalipa wachezaji nyingine kocha anajitolea n.k. Ukweli ni kwamba Industry ya Soka hata Ulaya sio Sustainable vilabu vingi vinatumia pesa ambazo hazina hence mwisho wa siku kuingia kwenye madeni....;

Nakubaliana nawe Kwenye Soka kuna fursa Mtambuka....!
Siku za Mechi kubwa Wajasiria Mali mama ntilie, Wapiga debe na vyombo vya usafiri,etc Wote Wanapata ajira japo sio za moja kwa moja
 
Hata mi nasema Tanzania michezo sio kipaumbele na ukiona imekuwa kipaumbele jua siku hiyo Kuna mwanasiasa ana jambo lake au wachache wanataka kupiga hela
Back in Germany wao hasa vijana wanakataa hizi programe za kukaa miaka rundo chuo wanataka kusoma haraka waanze maisha
Wengi utawakuta kwenye ufundi ,music,ujenzi wa kisasa,kilimo Cha kisasa,uendeshaji wa machines,michezo aina zote na masuala ya mapishi na utalii
Hizi course za daktari,uhasibu,uchumi na fujo zingine wameachia wahindi na afrikans so Mjerumani anaanzisha kampuni ya usafi maana kasomea anaajiri foreigners kuendesha ye anaenda kwenye match ya Bayern
Niliwahi kutoa ushauri Tanzania tuachane na mambo ya kuokoteza makocha kutoka kila pembe ya dunia, matokeo yake nchi inakosa dira au mfumo wa uchezaji ambao uko uniform. Nikashauri tuingie mkataba na Ujerumani, tukubali tuwe kama "koloni lao" kwa upande wa football. Watujengee mfumo kuanzia ngazi ya shule, academies, vilabu hadi timu za taifa.

Tufumue mfumo wetu wa soka kwa kuingia mkataba na Ujerumani
 
Ulishauri vizuri sana ila hakuna mtu wa kuchukua huo ushauri ujamaa ulisababisha tushindwe kuwa na mawazo ya kesho na investment for the future.
Kwa mapenzi ya soccer waliyo nayo vijana wa tz (passion)ikifanyika proper investment for 20 yrs hakuna mtu atasimama mbele yetu
Sema mi naona kukabidhi wazee wanaona aah kesho sio yetu basi wanafanya vitu vya hovyo.
NB:
Umeshawahi kufika karume ukaona uwanja wa mazoezi!?basi ndivyo admn ilivyo
 
Club za kuwaajiri hao watu na kuwalipa pesa nzuri ya kujikimu ni chache kuna club inatembeza bakuli hata kuweza kuwalipa wachezaji nyingine kocha anajitolea n.k. Ukweli ni kwamba Industry ya Soka hata Ulaya sio Sustainable vilabu vingi vinatumia pesa ambazo hazina hence mwisho wa siku kuingia kwenye madeni....;

Ndio maana nimekwambia club ni sawa na kampuni au viwanda si unaona Kila siku vinakufa ila wafanyakazi huenda mahali pengine na kupata kazi na maisha yakaendelea!?
Vijana wakipata hizo taaluma wanaweza kwenda kuajiriwa au kujiajiri maeneo mengi ya soccer
Germany Uk Spain France Italy na US michezo ndio sekta imeajiri watu wengi zaidi kuliko sekta yoyote Ile na ndio high paid ukifanikiwa kutoboa huko basi unaishi tajiri ukiwa bado mtoto eg Mbape Yamal Hao kina Saka n.k
 
Ukifika lubumbashi utammona public gym zipo zimetengewa maeneo maalumu ..kuna viwanja vya basketball kuna kituo kikubwa.
Hapa tuna JK youth park pekee labda na Don Bosco ambapo hadi upate nafasi ya kucheza ukiwa unatokea chanika basi ni muujiza utajiuliza fungu la michezo halmashauri huwa linafanya Nini!?
Hakuna sport center yoyote ya kisasa tena kama hizo basketball court netball court volleyball handball ni muhimu sana kwa mapumziko ya jioni
Asa Kila KIWANJA zimejengwa frame palipobaki maji yanajaa ndio Faiza anauliza pale chuo Cha Mipango watu walienda kusomea ujinga!?
 
Ulishauri vizuri sana ila hakuna mtu wa kuchukua huo ushauri ujamaa ulisababisha tushindwe kuwa na mawazo ya kesho na investment for the future.
Kwa mapenzi ya soccer waliyo nayo vijana wa tz (passion)ikifanyika proper investment for 20 yrs hakuna mtu atasimama mbele yetu
Sema mi naona kukabidhi wazee wanaona aah kesho sio yetu basi wanafanya vitu vya hovyo.
NB:
Umeshawahi kufika karume ukaona uwanja wa mazoezi!?basi ndivyo admn ilivyo
Siyo kwamba hawajui faida zake, wanazijua sana jinsi sanaa na michezo vinaweza kuwainua wangapi. Shida ni wanaogopa maendeleo ya haraka yatakayoibua vijana wasioambilika, wasioamini wanahitaji kulipa fadhila kwa yeyote ambao watakataa kuwa machawa.

Ndiyo maana kuna sekta kuanzia elimu hadi huku kwenye michezo tunaenda kwa kujikongoja, hii inawasaidia watawala kuchukua watu wawili watatu wawaweke pale juu au wale wawili watatu watakaopenya kwa nguvu zao wenyewe, waweze kusema kinafki "mnaona hawa wamefanikiwa, nyie wengine mnakwama wapi?"
 
Siyo kwamba hawajui faida zake, wanazijua sana sanaa, michezo vinaweza kuwainua wangapi. Shida inakuja wanaogopa maendeleo ya haraka yatakayoibua vijana wasioambilika, ambao watakataa kuwa machawa.

Ndiyo maana kuna sekta kuanzia elimu hadi huku kwenye michezo tunaenda kwa kujikongoja, hii inawasaidia watawala kuchukua watu wawili watatu wawaweke pale juu waseme kinafki "mnaona hawa wamefanikiwa, nyie wengine mnakwama wapi?"
Yah hii ni Moja wapo ya sababu ili wakifanya kidogo wajengewe sanamu na kuitwa Kila jina
Ila ni muhimu sana kuwekeza kwenye michezo maana ndio sekta inaweza kuajiri watu wengi kwa wakati mmoja
Hizi mentality za hivyo ni za wazungu miaka ya 1500-1800 waliogopa kuwapa blacks nafasi wakihofia kuwa watapinduliwa ndio maana US alichelewa kutawala michezo ya dunia.
 
Back
Top Bottom