Hata mi nasema Tanzania michezo sio kipaumbele na ukiona imekuwa kipaumbele jua siku hiyo Kuna mwanasiasa ana jambo lake au wachache wanataka kupiga hela
Back in Germany wao hasa vijana wanakataa hizi programe za kukaa miaka rundo chuo wanataka kusoma haraka waanze maisha
Wengi utawakuta kwenye ufundi ,music,ujenzi wa kisasa,kilimo Cha kisasa,uendeshaji wa machines,michezo aina zote na masuala ya mapishi na utalii
Hizi course za daktari,uhasibu,uchumi na fujo zingine wameachia wahindi na afrikans so Mjerumani anaanzisha kampuni ya usafi maana kasomea anaajiri foreigners kuendesha ye anaenda kwenye match ya Bayern