Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

PROCTER & GAMBLE

Jamaa ni hatari tokea enzi kwa products zao

Kenya ni agent tu
 
Ilikuwa ni those days. Pia hizo bidhaa ni viwanda vya wazungu so pesa inabaki kwenye circle ya wachache.

Sisi tunauza kwao mazao ya shambani ambayo pesa inaingia direct kwa mwananchi wa kawaida.
Soma comment namba tano ujue Kenya inavyonufaika.
 
makampuni ya wahindi hayo wamefungua na mengine tanzania so bidhaa nyingi saiv hazitok uko kama zaman saivi ni hapahapa wahindi wameshikilia uchumi wa east afrika nduli amin sijui aliwazaga nini kuwatimua
 
OMO is a brand of laundry detergent that was introduced by the British-Dutch multinational consumer goods company Unilever in the 1950s. The exact year when OMO was first launched may vary depending on the market and region, but it is generally believed to have been introduced in the early 1950s
Kwanini hao wazungu wasije kufungua viwanda Tanzania kwa wingi badala yake wanafungua Kenya. Au unadhani hapo Kenya viwanda vya wazungu vimeajiri wazungu tupu na havilipi kodi.
 
Soma comment namba tano ujue Kenya inavyonufaika.

Kuuza nazao nje ya nchi kuna figisu sana hapa Tanzania, Ni biashara ya cartels kubwa sio watanzania wa kawaida
Yaani unataka kuniaminisha kuuza Mahindi, Vitunguu, Nyanya, Mchele na mbogamboga Kenya ni biashara ya cartels??
 
20240901_221432.jpg
 
Lifebuoy 🧼

Alafu Ile sabuni ya "Omarii kila saa ngwarara ngwarara.." ilikuwa inaitwaje?
 
Cowboy, kimbo, foma gold, bamburi cement, maisha mabati.
 
Kuna mdau aliwahi kuweka mambo hadharani... Ninaweka ushuhuda wake, Sio rahisi kama unavyofikiria

Biashara ya mahindi ni nzuri sana kama ukiuzia nje ya nchi,mfano kenya au sudan kusini, ikiwa uko mikoa ya arusha au manyara ni bora zaidi, ila sasa! Ni hadi uunge chain na wafanyabiashara wazoefu,wakubali kukupa ushirikiano na kukupa hints kadha wa kadha,otherwise hawa ndiyo ma mafia wenyewe,nipo kwenye circle ya biashara hiyo,ila kwa angle tofauti,kuna jamaa alijiingiza kibabe kwenye game bila kusajiliwa kwenye chama cha wafanyabiashara ya nafaka huko arusha, kilichomkuta alijuta, mzigo wa tani 30 ulizuiliwa mpakani namanga,akaambiwa yana aflatoxin,marufuku kuingia kenya, alipambana kuhonga na nini lakini hakufanikiwa kuuingiza,, ipo hivi=mfanyabiashara wa mazao anayeuzia kenya anapaswa kuwa na namba za askari wa barrier zote kutokea arusha mpaka sokoni kenya,na pale border vilevile, kwa hiyo mzigo ukifika kabla haujafika barrier askari wanajua mzigo wa fulani unakuja,border vilevile,na wanakuwa kwenye payrol yako,unakuwa unawatoa kwa chochote kitu, sasa kama hujulikani wale wazoefu wakijua unapeleka mzigo, simu zinapigwa kote, zuieni huo mzigo! Baba hupiti!! Ukivuka barriers zote safari yako inaishia namanga, utatoboka hela hadi mzigo unakupiga hasara takatifu, pale border mwishoni watakuja wafanyabiashara wazoefu, wakukatishe tamaa kabisa, kisha wakuambie uwauzie wao kwa bei ya hasara, ukikubali(probably utakubali tu) wao wanayanunua, na kuyavusha kiulaini kabisa,unarudi home na hasara yako.
Mkuu, nafanya hizo biashara labda na mimi ni mmoja wa cartels basi.
65b43507-484f-44a8-8535-ed9a35d10682.jpeg
2e006647-ec48-4492-b217-9aedd9b86592.jpeg
 
Back
Top Bottom