Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

Mchina twamuonea bure, wanasiasa na siasa zetu ndo tatizo
 
View attachment 3084548kitu BIC hivi bado zipo?!
Mpaka kesho
17252269501844197176096531060281.jpg
 
BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana.
View attachment 3084474

KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha viatu, ni kwa muda mrefu sana wamekamata soko na sisi wateja tumeridhika, kwenye maandalizi ya kufungua shule hii bidhaa haikwepeki
View attachment 3084477

KASUKU KIBERITI - Unapozungumzia kuwasha moto watanzania wengi tumezoea kiberiti na kiberiti maarufu ni Kasuku, Matumizi yake ni mengi sana kuanzia kuwasha jiko, kuchoma taka, kuvuta sigara, kuwasha mishumaa, n.k.

View attachment 3084659

GOOD MORNING (dawa ya kikohozi) - hii dawa ipo mpaka leo kwenye maduka lakini ipo tangu muda mrefu, dozi yake ni kimfuniko chake mara 3 kwa siku ila uwe makini uweke mbali na watoto maana ni tamu wanaweza kunywa yote kwa mpigo.
View attachment 3084481

VASELINE (Mafuta ya mwili) - losheni na mgando mafuta ya ngozi, watoto, nywele, n.k. ubora wake umeweza kujijengea jina na kuwa chaguo la watu wengi kwa muda mrefu.
View attachment 3084565

OMO (kabla yake kulikuwa na aerial) - ni sabuni iliyoweza kuteka soko kwa muda mrefu, ni gharama kuzidi sabuni nyingi zenye ujazo mkubwa kwa bei chee, soko lake ni kwa wateja wanaojali zaidi ubora kuzidi ujazo,
View attachment 3084543

PIPI, Big G na pipi kali, - Msamiati mwengine tunaotumia kwajili ya bidhaa maarufu za Kenya ni big g, Kwenye pipi kuna kifua na machungwa, kuna PK maarufu kama pipi kali. kuna watu wana survive kwa kuuza hizi bidhaa pekee wameziweka kwenye ungo maeneo ya stendi, watoto wanazipenda, zinatumika kukata harufu, n.k.
View attachment 3084678
Ukweli mchungu kenya hapo wanamiliki kiberiti cha kasuku tu...hela za zote zinaenda kwa mabeberu kama ilivyo cocacola tanzania hela nyingi zinaenda marekani

Tuaanze niwajuze

Ukweli mchungu kenya hapo wana kiberiti hela hizo wakimaliza kutuuzia sisi wanazituma kwa mabeberu hivyo viwanda ni branches tu za ulaya naweka nondo msije sema story za vijiweni

Tuanze
1.kiwi ni company ya Australia pia na muingereza ya mwaka 1906 hapo kenya ipo kama branch tu wakimaliza mauzo kabla hakujakucha tajir Australia anataka mauzo

2.blue band ni kampuni ya kidutch ina matawi 95 dunia kenya ni tawi hela watuma kwa wa dutch tena akipiga simu moja hela yake aikikute bank😃😃😃

3. Omo ni moja product ya unilever ambayo pia ina miliki hiyo vasseline .....sasa unilever ni company ya mwingireza inafanya kazi dunia nzima so wakenya wakimaliza kuuza hela zinaenda uingereza faida kubwa watapata ni viajira
hawa unilever hadi tanzania wapo hawa mbwa kila nchi wapo kule iringa nadhani wanamiliki yale mashamba ya chai so wahehe wanachuma chai ila tajir unilever anapunga upepo london simu moja tajir hela yake iingie😀😀😀😀

Hizo ni chache hata hiyi big g si dhani kama ni ya wakenya

Kuna watu wamesema nido maziwa sio wa kenya tena pale wana branch sio hata production center ....nido ni product ya nestle company hawa ni swiss ....kenya wakimaliza kuuza hela wanatuma kwa maboss uswiss tena hawataki ilale hela yao😀😀😀😀

Ukirudi tanzania sisi viwanda vyetu vingi ni vya watanzania wenyewe sema sio sisi ni watanzania wenye asili ya kihindi au kiarabu .....lakini bora ni watanzania

Ndo maana imf na WB waliwahi tabiri kufikia 2040 tanzania moja ya sababu ni aina ya umiliki wa vyanzo vya pesa...

Kenya viwanda vingi hela wanatuma ulaya koz viwanda vyao vingi ni branches tu za mabeberu ..
 
Vaseline❌
Ni product ya America, pia msambazaji mkubwa kwa Africa ni SA.
Kenya wana viwanda vya bidhaa nyingi za SA hata Nivea wanayo ila hiyo Nivea ya Nairobi ndio imejaa Arusha ukiitumia ni kama wameponda mihogo...
Nivea ni Spain, Germany na SA.
 
Ukweli mchungu kenya hapo wanamiliki kiberiti cha kasuku tu...hela za zote zinaenda kwa mabeberu kama ilivyo cocacola tanzania hela nyingi zinaenda marekani

Tuaanze niwajuze

Ukweli mchungu kenya hapo wana kiberiti hela hizo wakimaliza kutuuzia sisi wanazituma kwa mabeberu hivyo viwanda ni branches tu za ulaya naweka nondo msije sema story za vijiweni

Tuanze
1.kiwi ni company ya Australia pia na muingereza ya mwaka 1906 hapo kenya ipo kama branch tu wakimaliza mauzo kabla hakujakucha tajir Australia anataka mauzo

2.blue band ni kampuni ya kidutch ina matawi 95 dunia kenya ni tawi hela watuma kwa wa dutch tena akipiga simu moja hela yake aikikute bank😃😃😃

3. Omo ni moja product ya unilever ambayo pia ina miliki hiyo vasseline .....sasa unilever ni company ya mwingireza inafanya kazi dunia nzima so wakenya wakimaliza kuuza hela zinaenda uingereza faida kubwa watapata ni viajira
hawa unilever hadi tanzania wapo hawa mbwa kila nchi wapo kule iringa nadhani wanamiliki yale mashamba ya chai so wahehe wanachuma chai ila tajir unilever anapunga upepo london simu moja tajir hela yake iingie😀😀😀😀

Hizo ni chache hata hiyi big g si dhani kama ni ya wakenya

Kuna watu wamesema nido maziwa sio wa kenya tena pale wana branch sio hata production center ....nido ni product ya nestle company hawa ni swiss ....kenya wakimaliza kuuza hela wanatuma kwa maboss uswiss tena hawataki ilale hela yao😀😀😀😀

Ukirudi tanzania sisi viwanda vyetu vingi ni vya watanzania wenyewe sema sio sisi ni watanzania wenye asili ya kihindi au kiarabu .....lakini bora ni watanzania

Ndo maana imf na WB waliwahi tabiri kufikia 2040 tanzania moja ya sababu ni aina ya umiliki wa vyanzo vya pesa...

Kenya viwanda vingi hela wanatuma ulaya koz viwanda vyao vingi ni branches tu za mabeberu ..
Mkuu unazunguka mbali Nchi inapata faida kubwa sana kwa kuwa na viwanda hata kama wamiliki watatoka China hapa Kaburu anatengeneza Ford Ranger na parts zake lakini mwenye Ford ni USA ila wao wanapata faida kubwa pia kwa kupata mapato na ajira hizo mambo za umiliki zimewapoteza sana Tanzania..
 
Ukweli mchungu kenya hapo wanamiliki kiberiti cha kasuku tu...hela za zote zinaenda kwa mabeberu kama ilivyo cocacola tanzania hela nyingi zinaenda marekani

Tuaanze niwajuze

Ukweli mchungu kenya hapo wana kiberiti hela hizo wakimaliza kutuuzia sisi wanazituma kwa mabeberu hivyo viwanda ni branches tu za ulaya naweka nondo msije sema story za vijiweni

Tuanze
1.kiwi ni company ya Australia pia na muingereza ya mwaka 1906 hapo kenya ipo kama branch tu wakimaliza mauzo kabla hakujakucha tajir Australia anataka mauzo

2.blue band ni kampuni ya kidutch ina matawi 95 dunia kenya ni tawi hela watuma kwa wa dutch tena akipiga simu moja hela yake aikikute bank😃😃😃

3. Omo ni moja product ya unilever ambayo pia ina miliki hiyo vasseline .....sasa unilever ni company ya mwingireza inafanya kazi dunia nzima so wakenya wakimaliza kuuza hela zinaenda uingereza faida kubwa watapata ni viajira
hawa unilever hadi tanzania wapo hawa mbwa kila nchi wapo kule iringa nadhani wanamiliki yale mashamba ya chai so wahehe wanachuma chai ila tajir unilever anapunga upepo london simu moja tajir hela yake iingie😀😀😀😀

Hizo ni chache hata hiyi big g si dhani kama ni ya wakenya

Kuna watu wamesema nido maziwa sio wa kenya tena pale wana branch sio hata production center ....nido ni product ya nestle company hawa ni swiss ....kenya wakimaliza kuuza hela wanatuma kwa maboss uswiss tena hawataki ilale hela yao😀😀😀😀

Ukirudi tanzania sisi viwanda vyetu vingi ni vya watanzania wenyewe sema sio sisi ni watanzania wenye asili ya kihindi au kiarabu .....lakini bora ni watanzania

Ndo maana imf na WB waliwahi tabiri kufikia 2040 tanzania moja ya sababu ni aina ya umiliki wa vyanzo vya pesa...

Kenya viwanda vingi hela wanatuma ulaya koz viwanda vyao vingi ni branches tu za mabeberu ..
soma comment namba 5
 
Back
Top Bottom