Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Madereva wa mabasi hawajawahi kupenda kuwa nyuma ya magari mengine.Nimefanyiwa sana hilo na mabasi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madereva wa mabasi hawajawahi kupenda kuwa nyuma ya magari mengine.Nimefanyiwa sana hilo na mabasi!
Uzi wa wenye magari huu
Nawahisha mgonjwa "sipitali" ya "Mhimbili"!Unani-overtake Mlima Kitonga Wewe umesoma NIT ya Wapi?
Ustaarabu unaanza na Wewe, Wewe ukiwa mstaarabu madereva wote unaokutana nao watakua fair na wewe, ku-omba ni kitu cha Busara sana ukinyimwa nyuti maana sio kila unaemuomba lazima akupeNimefanyiwa sana hilo na mabasi!
Nitakuwahisha Wewe na mgonjwa wako, kwenye Mlima hata ambulance hauruhusiwi ku-overtake hata uwe na mgonjwa anakataa ROHO marufuku ku-overtake kwenye MlimaNawahisha mgonjwa "sipitali" ya "Mhimbili"!
Ukiliona bus wewe lipishe liende usitake kushindana nao, chuma ikitoa hua hairudiNimefanyiwa sana hilo na mabasi!
Hili unajua sababu?Madereva wa mabasi hawajawahi kupenda kuwa nyuma ya magari mengine.
Mimi ni mbishi sana.Nitapita na honi ya salamu nitakupigia.No way!Nitakuwahisha Wewe na mgonjwa wako, kwenye Mlima hata ambulance hauruhusiwi ku-overtake hata uwe na mgonjwa anakataa ROHO marufuku ku-overtake kwenye Mlima
Tusimulie sababu dereva mkongwe.Hili unajua sababu?
The way unavyoendesha wewe akiona hujatoa hata muelekeo mzuri wa uendeshaji anakupita tu!Tusimulie sababu dereva mkongwe.
Utajikuta kwenye MtaroMimi ni mbishi sana.Nitapita na honi ya salamu nitakupigia.No way!
Ipo kwenye sheria za uendeshaji au ni maamuzi yao tu?The way unavyoendesha wewe akiona hujatoa hata muelekeo mzuri wa uendeshaji anakupita tu!
Kuovertake Halafu ghafla na kupinda kushoto au kulima bila kuonyesha ishara ya mwelekeo(indicator).Kuna tabia za ajabu sana za madereva wengi Tanzania ambazo mimi nazijumlisha na kuwa mambo mawili makubwa, ushenzi na kukosa ustaraabu. Natoa wito madereva tubadilike, kwa sababu kwa na tabia hizi barabarani ni kuonyesha ubinafsi, pupa, ushenzi, kukosa ustaarabu nk!
Hizi ni mojawapo, kama unafahamu tabia mbaya kama hizi tafadhali ongeza
Hizi ni tabia mbovu tano kama wewe ni dereva na unazifanya wewe huna ustaarabu na una tabia za kishenzi - you are uncultured. Acha tabia hizi.
- Dereva anataka kuingia barabarani toka barabara ndogo, au kukatisha barabara, na wewe hutaki kumruhusu au kusimama ili aingie au kukatisha barabara.
- Unaruhusiwa kuingia barabarani au kukatisha na dereva mwingine, na wewe hutoi shukurani kwa ishara ya taa au hata kupunga mkono wa asante au thumbs up, umekaza uso tu kama vile barabara ni ya baba yako. Kukosa kuonyesha shukurani ni tabia ya kishenzi
- Mtu anataka kuku-overtake na wewe unaongeza spidi ili asiku-overtake, au asiingie mbele yako, japo ulikuwa unaenda taratabu
- Una-overtake kwenye jam, na upapoona kuna gari zinakuja mbele yako na kulazimisha kurudi kwenye line kwa ku-bully gari ndogo au za gharama kubwa bila hata kuomba kuingia
- Una-overtake kwenye Zebra crossing, au unaona kuna group la watu wanataka kuvuka barabara kwenye Zebra crossing, na wala hujali kuwapa nafasi.
- Kuna trafic jam, na sasa upande wa jam wanatengeneza lane mbili na kuwaachia upande wa pili nafasi kidogo ili wapite. Wewe unaamua kutengeneza lane yako ya tatu na ku-block magari yanayokuja, japo tayari tumelazimisha kuwa na lane mbili na kuwaachia nafasi kidogo. Huu ni ushenzi, wewe unataka wao wapite wapi?
Nadhani post yako inaakisi wewe ni dereva wa aina gani ukiwa barabaraniUstaarabu unaanza na Wewe, Wewe ukiwa mstaarabu madereva wote unaokutana nao watakua fair na wewe, ku-omba ni kitu cha Busara sana ukinyimwa nyuti maana sio kila unaemuomba lazima akupe