Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Hivi chadema tu ndiyo wanaoteseka na mgao wa umeme?
 
Nilishawahi kusema humu. Hata kukatikakatika umeme ni janjajanja ya Makamba na familia ya mzee wa Msoga ili wauze mafuta. Baada ya maneno umeme ulitulia angalau maumivu yamepungua. Makamba ana unafiki sana ndani yake ni mtu mwenye hila ndani yake. Hana uzalendo kwa nchi yake anajiangalia yeye tu na marafiki zake. Kaleman aliondolewa hii wizara kwa Makamba kulipwa fadhila lakini matendo yake ni ya kishetani ndomaana Magufuli alimgundua mapema akampeleka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira sehemu ambayo hata asingesikika anafanya nini. Baadae alitumbuliwa.. Tuondolee huu uchafu pale Nishati
 
Makamba anashughulikiwa sana. Mimi binafsi sijawahi kuamini ni kiongozi bora sababu naamini si mtu mwenye msimamo isipokuwa ukigusa maslahi yake binafsi.

Si mtu wa kukemea rushwa pasi na woga. Si mtu aliye tayari hata urafiki/undugu ufe kwa maslahi ya Taifa! Ni rafiki mwaminifu!

Lakini pia mashambulizi anayopigwa kila kona, ndani ya CCM hadi nje yanafikirisha sana. Why him all times? Enzi za JK pia alikula sana spana! Hata utawala huu itafikia sehemu kupunguza kelele atapumzishwa!
 
Ila sukuma gang wanateseka sana, poleni lakini ndio maisha yalivyo maana hata nyie mlipokua madrakani kuna watu walipata tabu sana , kila jambo na wakati wake , tulieni tu sindano iingie.
 
Alichoharibu nini Kwa mfano?!?
Maana kutwa watu wanamsagia kunguni!

Akitoka atakayekuja ndiyo hatokata umeme?? Hatotoza Kodi za majengo!?
Kama wataalam wamesema mitambo imekuwa chakavu inahitaji kurekebishwa, Sisi kina nani??
Wizara zote mwenye nguvu ni PS hawa mawaziri ni watu Tu wa kuonekana mbele
 
SHETANI HILO.... UKOO WA MIZOGA FC.

KWANZA NI BINADAMU YULE?
 
Lafudhi says all.Hakuna ushahidi bali majungu.Link na Mpina ndio ime expose yote.Hayati Magufuli amefariki .Watu lazima wakubali ukweli.
 
Ila sukuma gang wanateseka sana, poleni lakini ndio maisha yalivyo maana hata nyie mlipokua madrakani kuna watu walipata tabu sana , kila jambo na wakati wake , tulieni tu sindano iingie.
Ukiona mtu anashadidia ubaguzi kwa misingi ya ukabila na udini,ujue kichwani ni mufilisi.
Hii tabia ya kuanza kubaguana kwa misingi ya ukabila isipokemewa itaipeleka nchi pabaya.
Na kwa bahati mbaya sana sioni jitihada za makusudi za kukemea tabia hii, tukiicha ikaota mizizi itaja tughalimu pakubwa.
Wahenga walisema
Ni heri kuzuia kuliko kuponya na usipoziba ufa utajenga ukuta.
 

Tatizo lako na la Mpina wote mmejikita kwenye chuki.
 
Huyo ana lafudhi ya kisukuma, dereva wa Luhaga Mpina, anadhani hatumjui
Kwani kaongea kwa kujificha ili useme kwani humjui?.Mtu katoa maoni yake wazi wazi alafu wewe unataka kuleta vitu visivyoendana na alichokisema.
 
Akitoka atakayekuja ndiyo hatokata umeme?? Hatotoza Kodi za majengo!?
Kama wataalam wamesema mitambo imekuwa chakavu inahitaji kurekebishwa, Sisi kina nani??
Aise! Kwa hiyo huna uhalali wala sababu ya kuhoji chochote kama mTanzania mlipa kodi.? Au wewe mrundi?
 
Hawana uwezo wakujibu hoja ndo maana wanakimbilia kuhamisha magoli.
 
wao wanavyohangaika kumsema mama yao na kumkashifu nani anawakemea? zama zao zilishapita waendelezde kujiliza liza tu kama mazuzu nasema tena poleni sana kwa kufiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…