Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
- Thread starter
- #321
Polientertainment stunts.Kwahiyo jina la Mwalimu litumike kwa wanaojielewa na wenye akili πππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polientertainment stunts.Kwahiyo jina la Mwalimu litumike kwa wanaojielewa na wenye akili πππππππππ
Hivi chadema tu ndiyo wanaoteseka na mgao wa umeme?Chadema mmeanza kuwaandama CCM na mavideo yenu duuuuuuuuuuuuuuu MakambΓ huko uliko imesikia mi siongezi kitu ila Napa ndisha sauti ya redio yangu hello Mr. Smart have you heard a certain creature dusting your credibility here please come and scold him a heavy scolding on his foreface so as he to be an exemplary to others to stop chewing your name and pour the sour saliva,I sink you understandingiiiiii, ok sank you!!!
Sanaaa. Yupo mifugo huko. Ni chawaa mzeeUnamjua huyu jamaa?
Okay ....ila tudeal na content yake tu.Sanaaa. Yupo mifugo huko. Ni chawaa mzee
Ndio maana tunawaombea kwa Mungu waishi maisha marefu hapa DunianiAtakuwa hai ? msimsahau Mungu jamani
Alichoharibu nini Kwa mfano?!?Mkuu nishati ya umeme ni very sensitive, ukiharibu hapo umeharibu uzalishaji kwa asilimia 90, unataka tuendelee kudidimia kimaisha kisa tu mtoto wa fulani kabebwa na hana uwezo wa kuendesha wizara watu wakae kimya?
Hili suala si la Sukuma gang, chadema wala ccm ni consequences kwa watanzania wote na hasa wa daraja la chini.
Is the "Suku" gang in action? Let me wait. More than this is in offing.Something is not right, s'thing is quite wrong mazee..
Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
View attachment 2183141
SHETANI HILO.... UKOO WA MIZOGA FC.Nilishawahi kusema humu. Hata kukatikakatika umeme ni janjajanja ya Makamba na familia ya mzee wa Msoga ili wauze mafuta. Baada ya maneno umeme ulitulia angalau maumivu yamepungua. Makamba ana unafiki sana ndani yake ni mtu mwenye hila ndani yake. Hana uzalendo kwa nchi yake anajiangalia yeye tu na marafiki zake. Kaleman aliondolewa hii wizara kwa Makamba kulipwa fadhila lakini matendo yake ni ya kishetani ndomaana Magufuli alimgundua mapema akampeleka Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira sehemu ambayo hata asingesikika anafanya nini. Baadae alitumbuliwa.. Tuondolee huu uchafu pale Nishati
Ukiona mtu anashadidia ubaguzi kwa misingi ya ukabila na udini,ujue kichwani ni mufilisi.Ila sukuma gang wanateseka sana, poleni lakini ndio maisha yalivyo maana hata nyie mlipokua madrakani kuna watu walipata tabu sana , kila jambo na wakati wake , tulieni tu sindano iingie.
Kama anaharibu lazima tuseme, kwa nini hajasakamwa Nape, Jenista, Ndalichako, Jaffo, Makame, Masauni nk, why only Makamba jiulize, tatizo kujifanya smart na mjuaji kuliko wengine ndo tatizo, kujifanya wewe ndo msomi na muelewa kuliko wote ndo shida, akiendelea tutamsakama mpaka mwisho akijirekebisha tutamwacha!
Kwani kaongea kwa kujificha ili useme kwani humjui?.Mtu katoa maoni yake wazi wazi alafu wewe unataka kuleta vitu visivyoendana na alichokisema.Huyo ana lafudhi ya kisukuma, dereva wa Luhaga Mpina, anadhani hatumjui
Aise! Kwa hiyo huna uhalali wala sababu ya kuhoji chochote kama mTanzania mlipa kodi.? Au wewe mrundi?Akitoka atakayekuja ndiyo hatokata umeme?? Hatotoza Kodi za majengo!?
Kama wataalam wamesema mitambo imekuwa chakavu inahitaji kurekebishwa, Sisi kina nani??
Hawana uwezo wakujibu hoja ndo maana wanakimbilia kuhamisha magoli.Bado mnaendeleza ujinga wenu wa enzi ya Magufuli; pale mnapoambiwa ukweli mnakimbilia kusema mnaandamwa!! Kwanini hamjibu hoja kwa hoja kumtetea huyo Makamba kama anaonewa? Wanaoumia na utendaji hafifu wa January ni wananchi wa vyama vyote kwanini mnakimbilia kulaumuChadema wakati wanaoumia wamo wana ccm wanaolalamika pia?
So what? Mbona wewe hatukujui umejificha nyuma ya pazia la JF.Huyo ana lafudhi ya kisukuma, dereva wa Luhaga Mpina, anadhani hatumjui
wao wanavyohangaika kumsema mama yao na kumkashifu nani anawakemea? zama zao zilishapita waendelezde kujiliza liza tu kama mazuzu nasema tena poleni sana kwa kufiwa.Ukiona mtu anashadidia ubaguzi kwa misingi ya ukabila na udini,ujue kichwani ni mufilisi.
Hii tabia ya kuanza kubaguana kwa misingi ya ukabila isipokemewa itaipeleka nchi pabaya.
Na kwa bahati mbaya sana sioni jitihada za makusudi za kukemea tabia hii, tukiicha ikaota mizizi itaja tughalimu pakubwa.
Wahenga walisema
Ni heri kuzuia kuliko kuponya na usipoziba ufa utajenga ukuta.