Hizi ni ziara za Rais au ni kampeni za uchaguzi?

Shida yako ipo wap. ? Nini hasa tatizo kwa sabab miradi hio inasimamiwa na serikal.inapozinduliwa ni lazima atajwe aliyehusika na kuitekeleza sasa ulitaka atajwe nani? B
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule ni kiongozi wa Chama cha Siasa tu na si Rais wa Nchi.Hapa kinachohojiwa ni ZIARA ZA RAIS WA JMT,je ni ziara za kichama za kampeni au ni za kiserikali akiwa katika cheo chake cha Urais? Jikite hapo kumjibu mtoa mada.
 
Nadhani hizo zilikuwa salamu kwa Wananchi wa Mtwara waliorudisha kadi za CCM!
Kuwa hata iweje 2025 lazima CCM ishinde uchaguzi.
 
Yule ni kiongozi wa Chama cha Siasa tu na si Rais wa Nchi.Hapa kinachohojiwa ni ZIARA ZA RAIS WA JMT,je ni ziara za kichama za kampeni au ni za kiserikali akiwa katika cheo chake cha Urais? Jikite hapo kumjibu mtoa mada.
alipoenda kuomba kura alikua na sura gani, na anapopeleka mrejesho kwa wapiga kura wake unataka awe namna upendavyo wewe right? actualy raisi yupo sahihi kabisa, ni gubu tu za mtoa hoja na wasiopenda raisi kupendwa na wapiga kura wake.
 
Mmeanza kulia lia. Hata nyie chadema mmezunguka nchi nzima mnapiga kamprni za kukitoa chama pendwa madarakani. Ngoja ccm isawazishe mashimo mana mlijiona kwamba mnapendwa kumbe watu walikuwa wanakuja kushangaa tu msukule Lisu
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu.
 
Inasikitisha Sana mkuu. Watu wanabebwa kwa ahadi ya pesa au chakula.
 
Kama hawana shida Ametat Sikia dogo. Maendeleo yoyote lazima kuwe na rushwa. Ukiona sehemu hakuna rushwa ujue hakuna maendeleo. Kimbia hapo mana hakuna Cha kuiba
 
Na lazima atapigwa chini, wala asijisumbue
Chadema ikipata mbunge hata mmoja uchaguzi ujao mniite mbwa achilia mbali kura za urais ambazo probably itakuwa asilimia zero. Kinachowaangamiza ni kushadadia matukio bila hoja ya Msingi. Wananchi tumeielewa dp world na malengo mazuri ya rais. Tumewapuuza TEC na mambo Yao yote
 
Hakuna raisi apo
 
alipoenda kuomba kura alikua na sura gani, na anapopeleka mrejesho kwa wapiga kura wake unataka awe namna upendavyo wewe right? actualy raisi yupo sahihi kabisa, ni gubu tu za mtoa hoja na wasiopenda raisi kupendwa na wapiga kura wake.
Kwani amewahi kuomba kuchaguliwa kuwa Rais?. Ni lini hiyo?. Kwa kifupi Rais atenganishe mikutano ya CCM na mikutano au ziara ya kiserikali.
 
Mshaanza kugwayagwaya mapema. Ulitaka Rais asikaguwe kazi anazozitolea mabilioni?
 
Kwani amewahi kuomba kuchaguliwa kuwa Rais?. Ni lini hiyo?. Kwa kifupi Rais atenganishe mikutano ya CCM na mikutano au ziara ya kiserikali.
hilo litabaki moyoni mwako.
uendelee kubaki nalo na kutembea nalo kama gubu au uliachie upate relief maisha yasonge...
 
Mmeanza kulia lia. Hata nyie chadema mmezunguka nchi nzima mnapiga kamprni za kukitoa chama pendwa madarakani. Ngoja ccm isawazishe mashimo mana mlijiona kwamba mnapendwa kumbe watu walikuwa wanakuja kushangaa tu msukule Lisu
Mkuu hujanielewa. Sijakataa kuwa CHADEMA wamezunguka nchi nzima walifanya mikutano au kampeni sio shida, maana CHADEMA hawana serikali. Lakini ni muhimu Rais atofautishe ziara ya serikali na mkutano wa CCM.

Hoja yangu ni kwamba ziara za serikali zinaendeshwa na Kodi ya wananchi na mikutano ya CCM inaendeshwa kwa michango ya wananchama. Sasa unapotumia ziara ya serikali kufanya mikutano ya CCM , hautendi haki.
 
Mikutano ya chadema inaendeshwa na mabeberu ndo mana Lisu ameenda kutoa feedback
 
Mbona kwa Sasa CHADEMA haina mbunge (kwa mujibu wa msimamo wa chama) lakini mafuta yamepanda Bei, umeme wa shida ,tozo, simenti Bei juu , ufisadi juu, Deni la nje juu etc.

Tatizo lenu mnatumia nguvu nyingi kwa CHADEMA, wakati kuendesha serikali kunawashinda. Mnawaza kuwaibia CHADEMA kura huku kuendesha serikali hamuwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…