Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kisaikolojia usije ukafs kwa presha samia ni hadi 2030Na lazima atapigwa chini, wala asijisumbue
Yule ni kiongozi wa Chama cha Siasa tu na si Rais wa Nchi.Hapa kinachohojiwa ni ZIARA ZA RAIS WA JMT,je ni ziara za kichama za kampeni au ni za kiserikali akiwa katika cheo chake cha Urais? Jikite hapo kumjibu mtoa mada.kwan yule jamaa aliepeleka report ng'ambo kwa wafadhili wake alikua anafanya nin huko mwanza na ngorongoro hadi anagalagala barabarani?
na alikua amevaa suti, kanzu au?
na wafuasi wake waliohudhuria ile mikutano walikua wamevaa bendera na sare za mashuka au za Chama?
alipoenda kuomba kura alikua na sura gani, na anapopeleka mrejesho kwa wapiga kura wake unataka awe namna upendavyo wewe right? actualy raisi yupo sahihi kabisa, ni gubu tu za mtoa hoja na wasiopenda raisi kupendwa na wapiga kura wake.Yule ni kiongozi wa Chama cha Siasa tu na si Rais wa Nchi.Hapa kinachohojiwa ni ZIARA ZA RAIS WA JMT,je ni ziara za kichama za kampeni au ni za kiserikali akiwa katika cheo chake cha Urais? Jikite hapo kumjibu mtoa mada.
Mmeanza kulia lia. Hata nyie chadema mmezunguka nchi nzima mnapiga kamprni za kukitoa chama pendwa madarakani. Ngoja ccm isawazishe mashimo mana mlijiona kwamba mnapendwa kumbe watu walikuwa wanakuja kushangaa tu msukule LisuNimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi.
Sababu zangu ni zifuatazo:
1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano wa kampeni. Mara Rais kaleta maji , umeme, kajenga barabara, mara royal tour nk. Kama Leo kwenye mkutano wa Tandahimba Kuna kiongozi mmoja kadai kuwa Rais Samiah ndio Rais wa kwanza tangu uhuru kuleta maendeleo Mkoa wa Mtwara. Nadhani haya yalitakiwa yasemwe 2025 wakati wa kampeni. Kuelezea Yale mafanikio ya Rais na kwanini achaguliwe Tena.
2. Jambo la pili, Wasemaji kugusia uchaguzi wa 2025. Nimeshangaa Viongozi waliopewa nafasi kudai 2025 kwenye uchaguzi mkuu Dr Samiah Hana mpinzani. Kwa mfano kwenye mkutano wa Leo hapo Tandahimba mbunge kadai, ya kwamba uchaguzi wa 2025 watamshindilia kura nyingi za urais Mh Samiah.
3. Jambo la tatu, Mikutano kujaa sare za CCM. Nadhani sio sahihi kufanya mkutano wa ziara ya Rais kuonekana katika mrengo wa kichama. Yani walioenda pale ni wanachama wa mapinduzi na hivyo kuujenga picha ya mkutano wa CCM. Kwa mfano alipoongea yule mbunge Tunza Malapa, wengi walidhani ni CCM, wakawa wanampigia makofi, ila alipomaliza kuongea na yule MC kumtaja Kama mbunge wa vitu maalum CHADEMA, umati karibia wote ulipigwa na butwaa maana hawakutegemea mbunge wa chama kingine awe pale. Kisaikilojia walijua ni mkutano wa CCM pekee yao.
4. Jambo la nne, wasanii wanaotumbuiza wote ni Kama wanamuimba Mh Samiah. Yani kila msanii akiimba lazima apayuke Samiah oyeeh!. Hii inaleta picha ya kampeni na kumjenga Mh Samiah kuliko kuwa ziara ya kazi.
5. Jambo la mwisho, mabango, t-shirt nk Zina picha ya Samiah na maneno ya kuashiria kampeni. Hii siyo sahihi kabisa.
Kwa ushauri hizi ziara ziwe za kikazi, Rais aondokane na haya makampeni. Afike kwa wananchi aulize shida zao na Kama wahusika wapo wajibu tuhuma zao.
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu.Mkuu 'econonist', kidogo mimi ninakushangaa wewe, pamoja na kuwasilisha mada liyojitosheleza kabisa; kwamba wewe ndio kwanza unaiona hali hii ya Samia kuwa kwenye Kampeni.
Huyu Kampeni zake zilianza mara tu aliposhika kiti cha urais, na hata siku moja hajafanya tofauti na kujiuza achaguliwe kuendelea kwenye nafasi hiyo.
Alipoingia, wewe hukuona alivyokimbilia harakaharaka kujiuza kwa wasanii? Hukuona matukio aliyofanya ili awaweke wasanii wamuuze katika kazi zao?
Wewe unadhani hayo mabango yaliyotapakaa mijini ya "Nani kama mama" yapo huko kufanya kazi gani?
Wakati akijaribu kuwanunua CHADEMA, unadhani aliwapenda sana hao jamaa, huoni sasa anavyowanyanyapaa baada ya kuona kuwa mtego wake haukuwanasa?
Nikubaliane na wewe, hizi tabia za kiongozi kufanya kampeni za kisiasa, na kuacha kuhudumu kwa kufuata ratiba za mipango ya kazi ni kuharibu kazi za wananchi.
Hao washangiliaji, wabunge, mawaziri na viongozi wengine wote wateuliwa wa huyu mtu mmoja, kazi zao wote wanazielekeza katika kumpigia kampeni mtu huyo huyo, ili na wao waendelee kujaza matumbo yao, na siyo kuleta maendeleo kwa wananchi.
Lugha zinakuwa ni za huyu mtu mmoja, kaleta hiki na kile, kajenga shule, kaleta barabara, kaleta maji; mwishowe tutaanza kuambiwa hata kwenda chooni tutakuwa tunamtegemea mtu huyu huyu mmoja.
Na kwa baadhi ya watu wetu wajinga ndani ya nchi hii wanauamini upuuzi wote huu!
Hovyo Kabisa.
Inasikitisha Sana mkuu. Watu wanabebwa kwa ahadi ya pesa au chakula.Cha kusikitisha zaidi, hawa waliofariki na waliojeruhiwa,huenda hata sababu iliyokuwa ikiwapeleka huko hawawezi kuieleza kwa ufasaha. Huenda wameahidiwa kutakuwepo na mlo (wali) kwenye hadhara hiyo, au wameahidiwa vijisenti kadhaa ambavyo wangepewa baada ya kuhudhuria hapo!
Inasikitisha sana.
AmetatNimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi.
Sababu zangu ni zifuatazo:
1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano wa kampeni. Mara Rais kaleta maji , umeme, kajenga barabara, mara royal tour nk. Kama Leo kwenye mkutano wa Tandahimba Kuna kiongozi mmoja kadai kuwa Rais Samiah ndio Rais wa kwanza tangu uhuru kuleta maendeleo Mkoa wa Mtwara. Nadhani haya yalitakiwa yasemwe 2025 wakati wa kampeni. Kuelezea Yale mafanikio ya Rais na kwanini achaguliwe Tena.
2. Jambo la pili, Wasemaji kugusia uchaguzi wa 2025. Nimeshangaa Viongozi waliopewa nafasi kudai 2025 kwenye uchaguzi mkuu Dr Samiah Hana mpinzani. Kwa mfano kwenye mkutano wa Leo hapo Tandahimba mbunge kadai, ya kwamba uchaguzi wa 2025 watamshindilia kura nyingi za urais Mh Samiah.
3. Jambo la tatu, Mikutano kujaa sare za CCM. Nadhani sio sahihi kufanya mkutano wa ziara ya Rais kuonekana katika mrengo wa kichama. Yani walioenda pale ni wanachama wa mapinduzi na hivyo kuujenga picha ya mkutano wa CCM. Kwa mfano alipoongea yule mbunge Tunza Malapa, wengi walidhani ni CCM, wakawa wanampigia makofi, ila alipomaliza kuongea na yule MC kumtaja Kama mbunge wa vitu maalum CHADEMA, umati karibia wote ulipigwa na butwaa maana hawakutegemea mbunge wa chama kingine awe pale. Kisaikilojia walijua ni mkutano wa CCM pekee yao.
4. Jambo la nne, wasanii wanaotumbuiza wote ni Kama wanamuimba Mh Samiah. Yani kila msanii akiimba lazima apayuke Samiah oyeeh!. Hii inaleta picha ya kampeni na kumjenga Mh Samiah kuliko kuwa ziara ya kazi.
5. Jambo la mwisho, mabango, t-shirt nk Zina picha ya Samiah na maneno ya kuashiria kampeni. Hii siyo sahihi kabisa.
Kwa ushauri hizi ziara ziwe za kikazi, Rais aondokane na haya makampeni. Afike kwa wananchi aulize shida zao na Kama wahusika wapo wajibu tuhuma zao.
Sikia dogo. Maendeleo yoyote lazima kuwe na rushwa. Ukiona sehemu hakuna rushwa ujue hakuna maendeleo. Kimbia hapo mana hakuna Cha kuibaHii kwa Tanzania yetu si ngeni mkuu labda kama we ni mgeni nchi hii... Ni Ushubwada tu ndio umejaa hakuna kingine
Na despite ya kuwepo kwa vivid Gap la kiutendaji ajitokeze wananchi yeyote ahoji mambo ya Rushwa, Uwajibikaji mbaya wa watumishi, Dpw nk Uone atakavyoandamwa hutaamini
Hii nchi ni kama tu ina laana vile maana si bure yani😂
Chadema ikipata mbunge hata mmoja uchaguzi ujao mniite mbwa achilia mbali kura za urais ambazo probably itakuwa asilimia zero. Kinachowaangamiza ni kushadadia matukio bila hoja ya Msingi. Wananchi tumeielewa dp world na malengo mazuri ya rais. Tumewapuuza TEC na mambo Yao yoteNa lazima atapigwa chini, wala asijisumbue
Hakuna raisi apoNimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi.
Sababu zangu ni zifuatazo:
1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano wa kampeni. Mara Rais kaleta maji , umeme, kajenga barabara, mara royal tour nk. Kama Leo kwenye mkutano wa Tandahimba Kuna kiongozi mmoja kadai kuwa Rais Samiah ndio Rais wa kwanza tangu uhuru kuleta maendeleo Mkoa wa Mtwara. Nadhani haya yalitakiwa yasemwe 2025 wakati wa kampeni. Kuelezea Yale mafanikio ya Rais na kwanini achaguliwe Tena.
2. Jambo la pili, Wasemaji kugusia uchaguzi wa 2025. Nimeshangaa Viongozi waliopewa nafasi kudai 2025 kwenye uchaguzi mkuu Dr Samiah Hana mpinzani. Kwa mfano kwenye mkutano wa Leo hapo Tandahimba mbunge kadai, ya kwamba uchaguzi wa 2025 watamshindilia kura nyingi za urais Mh Samiah.
3. Jambo la tatu, Mikutano kujaa sare za CCM. Nadhani sio sahihi kufanya mkutano wa ziara ya Rais kuonekana katika mrengo wa kichama. Yani walioenda pale ni wanachama wa mapinduzi na hivyo kuujenga picha ya mkutano wa CCM. Kwa mfano alipoongea yule mbunge Tunza Malapa, wengi walidhani ni CCM, wakawa wanampigia makofi, ila alipomaliza kuongea na yule MC kumtaja Kama mbunge wa vitu maalum CHADEMA, umati karibia wote ulipigwa na butwaa maana hawakutegemea mbunge wa chama kingine awe pale. Kisaikilojia walijua ni mkutano wa CCM pekee yao.
4. Jambo la nne, wasanii wanaotumbuiza wote ni Kama wanamuimba Mh Samiah. Yani kila msanii akiimba lazima apayuke Samiah oyeeh!. Hii inaleta picha ya kampeni na kumjenga Mh Samiah kuliko kuwa ziara ya kazi.
5. Jambo la mwisho, mabango, t-shirt nk Zina picha ya Samiah na maneno ya kuashiria kampeni. Hii siyo sahihi kabisa.
Kwa ushauri hizi ziara ziwe za kikazi, Rais aondokane na haya makampeni. Afike kwa wananchi aulize shida zao na Kama wahusika wapo wajibu tuhuma zao.
Kwani amewahi kuomba kuchaguliwa kuwa Rais?. Ni lini hiyo?. Kwa kifupi Rais atenganishe mikutano ya CCM na mikutano au ziara ya kiserikali.alipoenda kuomba kura alikua na sura gani, na anapopeleka mrejesho kwa wapiga kura wake unataka awe namna upendavyo wewe right? actualy raisi yupo sahihi kabisa, ni gubu tu za mtoa hoja na wasiopenda raisi kupendwa na wapiga kura wake.
Mshaanza kugwayagwaya mapema. Ulitaka Rais asikaguwe kazi anazozitolea mabilioni?Nimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi.
Sababu zangu ni zifuatazo:
1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano wa kampeni. Mara Rais kaleta maji , umeme, kajenga barabara, mara royal tour nk. Kama Leo kwenye mkutano wa Tandahimba Kuna kiongozi mmoja kadai kuwa Rais Samiah ndio Rais wa kwanza tangu uhuru kuleta maendeleo Mkoa wa Mtwara. Nadhani haya yalitakiwa yasemwe 2025 wakati wa kampeni. Kuelezea Yale mafanikio ya Rais na kwanini achaguliwe Tena.
2. Jambo la pili, Wasemaji kugusia uchaguzi wa 2025. Nimeshangaa Viongozi waliopewa nafasi kudai 2025 kwenye uchaguzi mkuu Dr Samiah Hana mpinzani. Kwa mfano kwenye mkutano wa Leo hapo Tandahimba mbunge kadai, ya kwamba uchaguzi wa 2025 watamshindilia kura nyingi za urais Mh Samiah.
3. Jambo la tatu, Mikutano kujaa sare za CCM. Nadhani sio sahihi kufanya mkutano wa ziara ya Rais kuonekana katika mrengo wa kichama. Yani walioenda pale ni wanachama wa mapinduzi na hivyo kuujenga picha ya mkutano wa CCM. Kwa mfano alipoongea yule mbunge Tunza Malapa, wengi walidhani ni CCM, wakawa wanampigia makofi, ila alipomaliza kuongea na yule MC kumtaja Kama mbunge wa vitu maalum CHADEMA, umati karibia wote ulipigwa na butwaa maana hawakutegemea mbunge wa chama kingine awe pale. Kisaikilojia walijua ni mkutano wa CCM pekee yao.
4. Jambo la nne, wasanii wanaotumbuiza wote ni Kama wanamuimba Mh Samiah. Yani kila msanii akiimba lazima apayuke Samiah oyeeh!. Hii inaleta picha ya kampeni na kumjenga Mh Samiah kuliko kuwa ziara ya kazi.
5. Jambo la mwisho, mabango, t-shirt nk Zina picha ya Samiah na maneno ya kuashiria kampeni. Hii siyo sahihi kabisa.
Kwa ushauri hizi ziara ziwe za kikazi, Rais aondokane na haya makampeni. Afike kwa wananchi aulize shida zao na Kama wahusika wapo wajibu tuhuma zao.
Kazi ya Mungu haina makosa.Hakuna raisi apo
hilo litabaki moyoni mwako.Kwani amewahi kuomba kuchaguliwa kuwa Rais?. Ni lini hiyo?. Kwa kifupi Rais atenganishe mikutano ya CCM na mikutano au ziara ya kiserikali.
Mkuu hujanielewa. Sijakataa kuwa CHADEMA wamezunguka nchi nzima walifanya mikutano au kampeni sio shida, maana CHADEMA hawana serikali. Lakini ni muhimu Rais atofautishe ziara ya serikali na mkutano wa CCM.Mmeanza kulia lia. Hata nyie chadema mmezunguka nchi nzima mnapiga kamprni za kukitoa chama pendwa madarakani. Ngoja ccm isawazishe mashimo mana mlijiona kwamba mnapendwa kumbe watu walikuwa wanakuja kushangaa tu msukule Lisu
Mikutano ya chadema inaendeshwa na mabeberu ndo mana Lisu ameenda kutoa feedbackMkuu hujanielewa. Sijakataa kuwa CHADEMA wamezunguka nchi nzima walifanya mikutano au kampeni sio shida, maana CHADEMA hawana serikali. Lakini ni muhimu Rais atofautishe ziara ya serikali na mkutano wa CCM.
Hoja yangu ni kwamba ziara za serikali zinaendeshwa na Kodi ya wananchi na mikutano ya CCM inaendeshwa kwa michango ya wananchama. Sasa unapotumia ziara ya serikali kufanya mikutano ya CCM , hautendi haki.
Mbona kwa Sasa CHADEMA haina mbunge (kwa mujibu wa msimamo wa chama) lakini mafuta yamepanda Bei, umeme wa shida ,tozo, simenti Bei juu , ufisadi juu, Deni la nje juu etc.Chadema ikipata mbunge hata mmoja uchaguzi ujao mniite mbwa achilia mbali kura za urais ambazo probably itakuwa asilimia zero. Kinachowaangamiza ni kushadadia matukio bila hoja ya Msingi. Wananchi tumeielewa dp world na malengo mazuri ya rais. Tumewapuuza TEC na mambo Yao yote