KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Wenye nayo watakuchinjaMajini ni machafu hakuna na haitatokea jini likawa takatifu
Hawaniwezi.Wenye nayo watakuchinja
Preview constellations issuesidhani mwenye elimu na kujiheshimu wanavaa hayo madude/uchafu
Alafu kuna dini baadhi ya waumini wake wanayapenda kweli kweli π
Ni Imani tu,japo kiukweli Zina makarama yake.Vp, mkuu zina matokeo mazuri kwako?
Hapana. Mimi ni wa jicho la tatu na nguvu ya pesa, siyo ushirikina as such.Kwa hiyo avatar yako mbona unaonekana na ww ni wa nguvu za giza?
NARUDIA. MAJINI NI MACHAFU NA HAYAFAI KWA LOLOTE. NI MACHAFU NA MATUMISHI YA SHETANI.Jidanganye
NARUDIA. MAJINI NI MACHAFU NA HAYAFAI KWA LOLOTE. NI MACHAFU NA MATUMISHI YA SHETANI. NI MACHAFU HAYAFAI. HAYO NI MATUMISHI YA SHETANI.Hamna unachokijua..ila tu umefungwa kichwa chako kufikiri kupitia kitabu pekee unachokiamini....Kuna pepo na majini..elimu mpya ianzie hapo
pete za kiislam!!
ππππpete za kiislam!!
Trump kasema amsikilizii mchungaji wenuπ³π³sidhani mwenye elimu na kujiheshimu wanavaa hayo madude/uchafu
Alafu kuna dini baadhi ya waumini wake wanayapenda kweli kweli π
Trump kasema amsikilizii mchungaji wenu..Ngoja wavaa kobazi waje kukujibu.
Ukiachana na sababu zote, hayo mapete hayapendezi.sidhani mwenye elimu na kujiheshimu wanavaa hayo madude/uchafu
Alafu kuna dini baadhi ya waumini wake wanayapenda kweli kweli π
Mkuu ukiitaja hiyo dini vita utaiweza?sidhani mwenye elimu na kujiheshimu wanavaa hayo madude/uchafu
Alafu kuna dini baadhi ya waumini wake wanayapenda kweli kweli π