Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

Hamna unachokijua..ila tu umefungwa kichwa chako kufikiri kupitia kitabu pekee unachokiamini....Kuna pepo na majini..elimu mpya ianzie hapo
NARUDIA. MAJINI NI MACHAFU NA HAYAFAI KWA LOLOTE. NI MACHAFU NA MATUMISHI YA SHETANI. NI MACHAFU HAYAFAI. HAYO NI MATUMISHI YA SHETANI.
 
Antena za majini hizoo popote ulipo liinashika.kama wewe syo dini moja na majin haauwezi kuzielewa
 
Back
Top Bottom