A
Anonymous
Guest
- Thread starter
-
- #1
Hizo wanywaji wake lazima wavimbe mashavu kama kitoto cha mbwa mwenye minyooHizi pombe za namna hiyo pamoja na za mfumo wa spirit Hua sitak Hata kuzishika
Hapo tayar viungo vya ndani vimeshaungua zimebaki majivu tuuHizo wanywaji wake lazima wavimbe mashavu kama kitoto cha mbwa mwenye minyoo
Vijana wadogo wanatoka mashavu kama paka shume na vitambi ucharwaHapo tayar viungo vya ndani vimeshaungua zimebaki majivu tuu
Em tuone picha ya paka shume 😂Vijana wadogo wanatoka mashavu kama paka shume na vitambi ucharwa
Em tuone picha ya paka shume 😂
Mbona kama kagonjwa, Au nako kamekunywa jogoo 😂
Nipo hapa nnawazoom kwa mbaali Mnavo simanga watu. Ngoja nikanunue konyagi ili twende sawaHizo wanywaji wake lazima wavimbe mashavu kama kitoto cha mbwa mwenye minyoo
Em tuone picha ya paka
Tuone na kitambi uchwara mkuu🤣