Wewe ni mchawi? Unaweka bundi kwenye avatar yako. Au mama yako ni mchawi.Sasa kama unajua filamu ya uchaguzi imeshaisha na serikali yako inachapa kazi wewe kinakuuma ni hao wengine wakijadili wanachokiona wao.wajadili wasijadili wewe kinachokuwasha ni nini.Wasiwasi wako ni nini hasa au hujiamini kwa ujinga uliofanyika.Fanya yako na wao wafanye yao.
I know huku ni sehemu ya watu wasiotaka kupingwa wala kuambiwa nyeupe ni nyeupe wanataka nyeupe iwe nyeusi
Karibu tena. Mada umeanzisha mwenyewe halafu unajichepusha mwenyewe. Sijamtaja Lissu bali nimetaja "ujinga wako" ungeutolea maelezo labda ningekuelewa.Nafikiri kama wewe una akili, usingelidanywa kuwa Lissu anahutubia Bunge la Eu au keshu Bunge la EU litajidili hali ya siasa Tanzania.
Apinge mara ngapi?Mkuu ili uonekane mjanja JF kuwa kama ndondocha kupinga pinga kila kitu.
Mjibu swali alilokuuliza, vinginevyo kama hautaki maswali jitoe JF of GT's.Acha kuuliza maswali ya kijinga
Mkuu, usifikiri huyo pimbi hajui. Anafahamu vzr sarakasi walizofanya. Anafanya propaganda tu hapaWewe jamaa ni mjinga sana,laiti kama ungejua jinsi ccm ilivyoshinda uchaguzi huu kwa kufoji na kwa nguvu plus hujuma na rafu kibao usingeleta uchuro wako hapa.Kuna mzee mmoja mwanaccm ktk Kata fulani, wilaya x kule Kagera,alinipigia simu na kukiri kuwa walifanya hujuma za kiwango cha lami wakati wa uchaguzi,na akasema anataka kwenda kutubu Kanisani maana inamuuma sana km mcha Mungu,halafu wewe ndo unatuletea uharo mweusi hapa.Acha kushangilia uovu maana Mungu hapendi.
Uongo ni Sera namba moja ya Chadema.Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na wananchi imeshaanza kuchapa kazi, wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa...
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa washikadau wa dhulma wataongea maneno gani zaidi ya kuvutia upande wait wa dhulma.?Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na wananchi imeshaanza kuchapa kazi, wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa...
Bila Shaka atakuwa analipwaMkuu, usifikiri huyo pimbi hajui. Anafahamu vzr sarakasi walizofanya. Anafanya propaganda tu hapa
Hilo ni swali mujarabu kabisa,kamaunaona sii,swali sahihi utakuwa na matatizo fulani.Acha kuuliza maswali ya kijinga
Yale msiyoyapenda,yahusuyo haki.Umeandika nini?
Wewe kweli kacheki hiyo CPU yako kama iko sawa mkuu.Uongo mtupu,mliemkamata nazo ni nani? Kwa nini mumuachie?
Basi relax kama JPM wako ameshinda Kwa halali huna haja ya pressure we piga mluzi Tu.Mimi kusikitishwa na propaganda za kipuuzi ndio JPM ni mtu wangu? Ushindani anaoufanya JPM ni kuwaletea wananchi maendeleo.
Hata hizi walizonazo watu anatamani awapore. Ile namba nyingine.Bima ya Afya kwa kila mtanzania inaanza kutolewa lini?