Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

Nenda kanyonye, acha kudandia mada za watu tunaoweza kumvua chupi mama yako.
Ndiko ulikofikia? Kwaujinga wako nilijua silaha uliyobaki nayo ni kukosa staha. Shame on you Pro CCM
 
Kwani wewe unaona vipi!?
 
Uhuru unaousemea unampa melo wakati mgumu. Hakuna uhuru huo mkuu ni maigizo ya uhuru
Wala, huku watu wako huru, umewahi kusikia mtu katoa maoni yake humu jf akatumiwa watu wasiojulikana au kupigwa risasi? Huko kwenye media rasmi kama radio, TV nk, jaribu kwenda kukosoa ndio utafurahi.
 
Uhuru unaousemea unampa melo wakati mgumu. Hakuna uhuru huo mkuu ni maigizo ya uhuru

Tunampa wakati mgumu kwakuwa tunatawaliwa kwa shuruti bila ridhaa yetu. Lakini wanaotawala wangekuwa wanatawala kwa ridhaa ya wananchi, wasingekuwa na tatizo na uhuru wa maoni. Subiri utawala huu usio na ridhaa ya wengi ukimaliza muda wake, na kuingia utawala wenye ridhaa ya watu kama hujaona uhuru wa vyombo vya habari, midahalo mbalimbali isiyo na hofu, chaguzi zisizo na umwagaji damu wala mabeg ya kura za wizi, bunge huru na sio hilo kibogoyo nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…