Hizi propaganda mnazofanya ni ujinga? Au ni ushamba wa kisiasa?

Unakuwa na vithibitisho lakini hupeleki mhalifu kwenye vyombo vya sheria na wewe ni moja ya wale ambao walikuwa watunga sheria, unakwama wapi?

Kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?
 
Show ya kizembe kabisa!!! Bila hata fikira tunduizi unaona kuwa tukio lina mushkeri ya wazi kabisa. Poleni. Kazi imeishaanza.
Halafu eti TISS ndiyo walisimamia show ya kizembe namna hiyo!Hii ilithibitisha kuwa shirika letu la inteligensia lina mushkeli kubwa sana,yaani wanaandaa show halafu wanashtukiwa na kukamatwa kizembe na watu ambao hawana taaluma yoyote ile ya inteligensia
 
Siku nyingine msichukue sheria mkononi ya kuchoma moto ushahidi
Kwa nini unataka kesi ya Tumbili ipelekwe kwa Ngedere?Yaani kwa nini unataka kesi ya mwizi wa kura ipelekwe kwa msimamizi mkuu wa wizi wa kura?Unaelewa kuwa vyombo vya sheria ndiyo walikuwa wasimamizi wakuu wa wizi wa kura na waliokamatwa na kura fake walikuwa ni wasimamizi wasaidizi wa wizi wa kura?
 
Begi hili ni la Halima tumemfwatilia na Dada wake wa ndani kasema ni begi la Boss wake.[emoji23]

Halima ni tapeli.
Kama begi ni la Halima kwa nini serekali haijamkamata na kumshtaki kwa kusababisha taharuki na kwa kudhalilisha zoezi la upigaji kura?
 
Upumbavu
 
Huu ni upuuzi kabisa, kama walikamata kura, walizikamata vipi? Mbona hakuna ufafanuzi?
Hakuna ufafanuzi kwani ulifuatilia hii scandal ukakosa ufafanuzi?Kamanda usiechoka kutoka CCM siku hizi umeanza kuchoka ndugu yangu?Kwa nini hufuatilii haya masuala ya msingi?
 
Hakuna hicho kitu. Ni mawazo yenu tu. Mimi ni mmoja kati yawatu waliomkataa amsterdam. Uchaguzi ulikua Magufuli vs Amsterdam sio Lissu.
 
HUWEZI TETEA UOVU HALAFU UKASHINDA BILA KUFANYA UOVU MWINGINE.
 
Uchaguzi umeisha na serikali iliyochaguiwa na wananchi imeshaanza kuchapa kazi, wananchi wa Tanzania wapo kimya wakisubiri kula matunda ya kile walichoahidiwa.
Mleta mada watu sio wajinga kama unavyodai! Inawezekana wewe ndie hujitambua na upeo wako ni mdogo sana! usifikiri watu humu wana akili za ukoko kama zako. 'serikali iliyochaguliwa na wananchi' ??
 
We mnyarwanda ipo siku utaingia mikononi mwa sheria.
 
Hakuna hicho kitu. Ni mawazo yenu tu. Mimi ni mmoja kati yawatu waliomkataa amsterdam. Uchaguzi ulikua Magufuli vs Amsterdam sio Lissu.

Hakuna anayemjua Amsterdam mbali ya mitandaoni, naona unaokoteza maelezo ya kipropaganda ndio unayatumia kujenga hoja kwenye ulimwengu wa uhalisia.
 
Hakuna propaganda. Jamaa yenu kawaharibia sana na makelele yake. Leo alhamis huko bungeni ulaya tumeshajadiliwa au bado?
Hakuna anayemjua Amsterdam mbali ya mitandaoni, naona unaokoteza maelezo ya kipropaganda ndio unayatumia kujenga hoja kwenye ulimwengu wa uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ