Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
-Ku-support Zanzibar kutawaliwa na wa-Oman ni upumbavu uliokithiri.
-Kumuamini Ponda na hadaa zake kwa niaba ya Oman ni zaidi ya upumbavu.
NB: Ni kweli wengi(Waarabu) waliawa kwenye mapinduzi na waliporwa ardhi na mali zao.
Swali: Hao Waarabu ardhi waliinunua kwa wenyeji au waliipora? Ni wabantu wangapi waliuawa kwa makusudi au kwenye kusafirishwa wakiwa wapepakiwa kama mifugo au kwa kutumikishwa utumwani?
-Ni kichekesho kuwaonea huruma waliofaidika kutokana na biashara ya utumwa au wale waliofaidika kutokana na kutumikisha watumwa.