Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

-Ku-support Zanzibar kutawaliwa na wa-Oman ni upumbavu uliokithiri.
-Kumuamini Ponda na hadaa zake kwa niaba ya Oman ni zaidi ya upumbavu.
NB: Ni kweli wengi(Waarabu) waliawa kwenye mapinduzi na waliporwa ardhi na mali zao.
Swali: Hao Waarabu ardhi waliinunua kwa wenyeji au waliipora? Ni wabantu wangapi waliuawa kwa makusudi au kwenye kusafirishwa wakiwa wapepakiwa kama mifugo au kwa kutumikishwa utumwani?
-Ni kichekesho kuwaonea huruma waliofaidika kutokana na biashara ya utumwa au wale waliofaidika kutokana na kutumikisha watumwa.
 
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
Duuu hiyo drone iliyokuwa ikichukua video nimeikubali.
 
-Ku-support Zanzibar kutawaliwa na wa-Oman ni upumbavu uliokithiri.
-Kumuamini Ponda na hadaa zake kwa niaba ya Oman ni zaidi ya upumbavu.
NB: Ni kweli wengi(Waarabu) waliawa kwenye mapinduzi na waliporwa ardhi na mali zao.
Swali: Hao Waarabu ardhi waliinunua kwa wenyeji au waliipora? Ni wabantu wangapi waliuawa kwa makusudi au kwenye kusafirishwa wakiwa wapepakiwa kama mifugo au kwa kutumikishwa utumwani?
-Ni kichekesho kuwaonea huruma waliofaidika kutokana na biashara ya utumwa au wale waliofaidika kutokana na kutumikisha watumwa.
Kwa hivyo hakuna haja ya kuwepo demokrasia au vipi ? Kwani kulikuwa kuna haja gani ya kuvamia ? Mohammed Shamte mpemba wa Ole alimtaifisha Nani shamba lake? Alimuuza mwafrika yupi.
Hivi hiyo serikali yake unaijua au umemezwa sumu Za mambo ya Zaidi ya miaka 200. Yaani ni Kama Magu aliyetoa amri ya kuuliwa Lissu baada ya miaka 200 dhambi hiyo ihusishwe na wasukuma wote
 
Weka ushahidi wa hiyo amri, hayo ndio mambo mnatakiwa muweke wazi Ili haki itendeke
 
Hata mtoto wa chekechea hataki ushahidi kwani jamaa kapigwa kwenye maeneo ya Bunge ambako kuna ulinzi wakati wote. Na ma CCTV kila kona
 
Pole kwa kuondoshwa mnyamwezi mwenzako magu na waafrika wenzake .

Walouwawa 1964 si Babu zangu tu wengine ni wazee wangu, walikuja wavamizi kijijini ,shamba kabisa wakamuuwa mzee kwa kumkata kichwa mbele ya mke wake na watoto. Mke wake mpaka tumemzika mwaka juzi akili zake zilikuwa zinakwenda zikirudi.Mengine waliyoyafanya hayasemeki wala hayasameheki.
Mungu atatulipia

Achilia hicho kisasi bahari imetulia sasa,waarabu koko mkae kutulia kujenga Tanzania yetu,mkiona hamuwezi nendeni kwa wajomba zenu oman.
 
Hebu nawe weka ushahidi wa kuthibitisha ya kuwa walikuwa wakiimba 'hakuna kugusa Mzungu'.
 
Achilia hicho kisasi bahari imetulia sasa,waarabu koko mkae kutulia kujenga Tanzania yetu,mkiona hamuwezi nendeni kwa wajomba zenu oman.
Bahari imetulia inasubiri uchafuzi uitwao uchaguzi, mauwaji na mateso yaendelee. Tunawasubiri mje na majeshi ya wahutu wa Burundi Kama mwaka juzi muendeleze mauwaji
 
Yapi ha
Pole kwa kuondoshwa mnyamwezi mwenzako magu na waafrika wenzake .

Walouwawa 1964 si Babu zangu tu wengine ni wazee wangu, walikuja wavamizi kijijini ,shamba kabisa wakamuuwa mzee kwa kumkata kichwa mbele ya mke wake na watoto. Mke wake mpaka tumemzika mwaka juzi akili zake zilikuwa zinakwenda zikirudi.Mengine waliyoyafanya hayasemeki wala hayasameheki.
Mungu atatulipia
Yapi hayo,?
 
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:[/

View attachment 2481240

Hii video iliandaliwa na Sultan Jamshid Bin Abdullah bin Said. Tunataka video ya wakwezi na wakulima walioteswa na kuuawawa.#Mapinduzi Daima. Yadumu.🙏🙏🙏
 
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
Niliwahi kusema kuwa mapinduzi yale hayakuwa halali na yaliuwa watu wengi bila hatia. Kuna video niliwahi kuileta hapa katika lugha ya kiitaliano inayoonyesha jinsi watu walivyouwawa bila hatia yoyote.
Mapinduzi hayakuwa halali kwa vile uchaguzi halali ulikuwa umefanyika na ASP ilikuwa imeshiriki lakini haikufikia kupata viti vya kuongoza; ilitakiwa wajipange upya wasubiri uchaguzi mwingine ujao. Halafu hawakutoa mwanya kwa serikali halali iliyochagiuliwa kufanya kazi zake yaani ilikuwa ni kama siku 30 tu (december 10 hadi januri 12) tangu serikali iliyochaguliwa iingine madarakani ndipo ikapinduliwa.
 
Kwa hivyo hakuna haja ya kuwepo demokrasia au vipi ? Kwani kulikuwa kuna haja gani ya kuvamia ? Mohammed Shamte mpemba wa Ole alimtaifisha Nani shamba lake? Alimuuza mwafrika yupi.
Hivi hiyo serikali yake unaijua au umemezwa sumu Za mambo ya Zaidi ya miaka 200. Yaani ni Kama Magu aliyetoa amri ya kuuliwa Lissu baada ya miaka 200 dhambi hiyo ihusishwe na wasukuma wote
Slavery umeeita 'sumu tuliyomezeshwa' hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiri unaishia wapi.
Regardless hayo, jenga picha kama yasingetokea yale mapindizu tofauti za standards za kimaisha kati ya Wabantu na Waarabu ambavyo ingekuwa ukizingatia advantages za Waarabu zinatokana na kwamba their forefathers waliuza, walinunua na walitumikisha watumwa hivyo basi pamoja na madhila yaliyosababishwa na utumwa the aftermath kuweaka aina fulani ya usawa.
 
Historia imefichwa na kufungwa kama bidhaa haramu. Ukweli hauelezwi na uongo unafundishwa hadi darasani. Mapinduzi Zanzibar picha za watawala waliopo madarakani zimetamalaki kuliko picha za John Gideon Okello na wenzake. Abeid Karume aliyekuwa DSM siku ya mapinduzi anaitwa shujaa
20230116_042518.jpg
20230116_042513.jpg
 
Niliwahi kusema kuwa mapinduzi yale hayakuwa halali na yaliuwa watu wengi bila hatia. Kuna video niliwahi kuileta hapa katika lugha ya kiitaliano inayoonyesha jinsi watu walivyouwawa bila hatia yoyote.
Mapinduzi hayakuwa halali kwa vile uchaguzi halali ulikuwa umefanyikana ASP ilikuwa imeshiriki lakini haikufikia kupata viti vya kuongoza; ilitakiwa wajipange upya wasubiri uchagzi mwingine ujao. Halafu hawakautoa mwanya kwa serikali halali iliyochagiuliwa kufanya kazi zake yaani ilikuwa ni kama siku 30 tu (december 10 hadi januri 12) tangu serikali iliyochaguliwa iingine madarakani ndipo ikapinduliwa.
Tunaomba ile video km unayo
 
Back
Top Bottom