Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Mapinduzi matukufu, Ikulu tukufu, Bunge tukufu, katiba tukufu !!!
Kwani tukufu ina maana gani?
Tukufu ni kivumishi kinacho ashiria ubora, uzuri au heshima ya juu kabisa ya mtu, jambo au kitu kilicho Bora kuliko kitu chochote kile kisichokua na dosari au dhambi kwa misingi ya kijamii, kisiasa au kiimani
 
Hicho ulichoandika ndiyo sumu yenyewe. Hivi nani alikuambia Waarabu walikuwa na Mali na waafrika walikuwa hawana kitu. Waafrika walikuwa hawana mashamba ni nyinyi mliokuja kutafuta maisha. Waafrika wengi walikuwa na Mali zaor na elimu .Hivi hujasoma kitabu cha Mzee Ali Hassan Mwinyi? Hao Waarabu wengi walikuwa masikini na waliofanya kazi Za kawaida.
Usidanganywae na propaganda Za kanisa
 
Historia ya mapinduzi isiyosimuliwa.
 
Utumwa gani unaouzungumzia wewe?.

Serikali iliyopinduliwa ilikuwa ni serikali halali iliyotokana na kura za wananchi katika uchaguzi halali, ambao ASP ilishiriki ila ikashindwa!

Hata mfumo wa utawala, ulitokana na Wazanzibar wenyewe kukubaliana katika mazungumzo ya Lancaster house huko uingereza kabla ya uhuru wa 1963. Mzee Karume alishiriki ipasavyo ktk mazungumzo hayo!.

Kilichofanyika Zanzibar mwaka 1964 ni Mauaji ya halaiki. Na tangu wakati huo Serikali za Mapinduzi zilizofuata ni kama zilipata laana. Hakuna chochote cha maana walichokifanya.
 
nimekuelewa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Asante
 
Sasa kuna jambo linashangaza sana. Juzi nimemsikia mama Fatuma Karume anahojiwa kipindi maalum na Clouds TV anasema eti siku ya mapinduzi asubuhi alikuwa na mzee Karume nyumbani Unguja wakaanza kusikia sauti za risasi huku na kule akamuuliza mumewe kuna nini huko? Naye akamjibu tulia tuu.
Hii ni habari mpya baada hiyo ya kutokuwepo huko na kuwepo Dar kwa Karume. Jee huyo bibi kafundishwa sasa kuleta new story kwa manufaa gani?
Historia ikiingiziwa uongo inaharibika.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
zinatendewa haki na nani.kwa wakristo roho haifi ila moyo unakufa na mwili wake.haki iko mbinguni na si duniani.sasa hizo roho zitatendewa haki na nani?kama hukutenda hukutubu duniani basi,na kama ulitubu na kutenda haki hapa duniani basi Mungu ndo atakayewatendea haki.
i
 
Hao watu walipowatumia watumwa kama nguzo za khasiri zoa nani aliwatetea
 
kwani walikuwa wanakimbia wote? hakuna aliekuwa akibakia nyuma je vita ukareine awaziki?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo sentensi ya mtutu ni Hatare sana
 
Mapinduzi sio Taarabu lzm damu imwagike.

Inasikitisha watu kuuwawa lkn wakati mwengine maamuzi magumu ni muhimu

Tungewalaani sana kama wangewaachia wafalme Waendelee kututawala
raha muuaji nae aishi milele

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

umechelewa kumfahamu Pascal, Jamaa ni mbaguzi mwenye chuki mbaya sana.
 

Tatizo la watangyika ni ubaguzi, unawatesa sana. Waliouliwa hawakuwa wa Oman bali walikua ni wazanzibari tunatakiwa tufahamu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…