Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Mapinduzi matukufu, Ikulu tukufu, Bunge tukufu, katiba tukufu !!!
Kwani tukufu ina maana gani?
Tukufu ni kivumishi kinacho ashiria ubora, uzuri au heshima ya juu kabisa ya mtu, jambo au kitu kilicho Bora kuliko kitu chochote kile kisichokua na dosari au dhambi kwa misingi ya kijamii, kisiasa au kiimani
 
Slavery umeeita 'sumu tuliyomezeshwa' hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiri unaishia wapi.
Regardless hayo, jenga picha kama yasingetokea yale mapindizu tofauti za standards za kimaisha kati ya Wabantu na Waarabu ambavyo ingekuwa ukizingatia advantages za Waarabu zinatokana na kwamba their forefathers waliuza, walinunua na walitumikisha watumwa hivyo basi pamoja na madhila yaliyosababishwa na utumwa the aftermath kuweaka aina fulani ya usawa.
Hicho ulichoandika ndiyo sumu yenyewe. Hivi nani alikuambia Waarabu walikuwa na Mali na waafrika walikuwa hawana kitu. Waafrika walikuwa hawana mashamba ni nyinyi mliokuja kutafuta maisha. Waafrika wengi walikuwa na Mali zaor na elimu .Hivi hujasoma kitabu cha Mzee Ali Hassan Mwinyi? Hao Waarabu wengi walikuwa masikini na waliofanya kazi Za kawaida.
Usidanganywae na propaganda Za kanisa
 
Kwa rekodi sahihi tu: mapinduzi yalitokea usiku mmoja lakini mauaji na hasa sehemu za vijijini yaliendelea kwa kipindi kidogo, mpaka Serikali mpya ilichukuwa hatua ya kuwachukua baadhi ya watu (hasa kutoka vyama vya upinzani) na kuwaweka sehemu kuwahifadhi na kuwalinda.
Historia ya mapinduzi isiyosimuliwa.
 
Slavery umeeita 'sumu tuliyomezeshwa' hii inaonyesha uwezo wako wa kufikiri unaishia wapi.
Regardless hayo, jenga picha kama yasingetokea yale mapindizu tofauti za standards za kimaisha kati ya Wabantu na Waarabu ambavyo ingekuwa ukizingatia advantages za Waarabu zinatokana na kwamba their forefathers waliuza, walinunua na walitumikisha watumwa hivyo basi pamoja na madhila yaliyosababishwa na utumwa the aftermath kuweaka aina fulani ya usawa.
Utumwa gani unaouzungumzia wewe?.

Serikali iliyopinduliwa ilikuwa ni serikali halali iliyotokana na kura za wananchi katika uchaguzi halali, ambao ASP ilishiriki ila ikashindwa!

Hata mfumo wa utawala, ulitokana na Wazanzibar wenyewe kukubaliana katika mazungumzo ya Lancaster house huko uingereza kabla ya uhuru wa 1963. Mzee Karume alishiriki ipasavyo ktk mazungumzo hayo!.

Kilichofanyika Zanzibar mwaka 1964 ni Mauaji ya halaiki. Na tangu wakati huo Serikali za Mapinduzi zilizofuata ni kama zilipata laana. Hakuna chochote cha maana walichokifanya.
 
nimekuelewa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Anza hapa

Asante
 
Historia imefichwa na kufungwa kama bidhaa haramu. Ukweli hauelezwi na uongo unafundishwa hadi darasani. Mapinduzi Zanzibar picha za watawala waliopo madarakani zimetamalaki kuliko picha za John Gideon Okello na wenzake. Abeid Karume aliyekuwa DSM siku ya mapinduzi anaitwa shujaaView attachment 2482893View attachment 2482894
Sasa kuna jambo linashangaza sana. Juzi nimemsikia mama Fatuma Karume anahojiwa kipindi maalum na Clouds TV anasema eti siku ya mapinduzi asubuhi alikuwa na mzee Karume nyumbani Unguja wakaanza kusikia sauti za risasi huku na kule akamuuliza mumewe kuna nini huko? Naye akamjibu tulia tuu.
Hii ni habari mpya baada hiyo ya kutokuwepo huko na kuwepo Dar kwa Karume. Jee huyo bibi kafundishwa sasa kuleta new story kwa manufaa gani?
Historia ikiingiziwa uongo inaharibika.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
zinatendewa haki na nani.kwa wakristo roho haifi ila moyo unakufa na mwili wake.haki iko mbinguni na si duniani.sasa hizo roho zitatendewa haki na nani?kama hukutenda hukutubu duniani basi,na kama ulitubu na kutenda haki hapa duniani basi Mungu ndo atakayewatendea haki.
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
i

Hao watu walipowatumia watumwa kama nguzo za khasiri zoa nani aliwatetea
 
Jibu halijajibiwa..hiyo ndege ya waitaliano iliyokuwa inachukua hiyo sinema ilikaa angani masiku mangapi hadi kuonyesha matukio mawili ya watu wakikimbia na huku nyuma wakiacha makabuli?.
Fujo zidumu masaa manane ndani ya masaa manane watu wakimbie huku wakichimba makabuli na kuzikana, kweli?.
kwani walikuwa wanakimbia wote? hakuna aliekuwa akibakia nyuma je vita ukareine awaziki?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mleta Mada tafuta cha kufanya ili upate ujira na kuihudumia familia yako kama ipo!

Hii mambo ya kujifanya mnajua haki kuliko!
Ni mtindio wa mawazo unaowasumbua tu!

Mapinduzi siyo Bongo fleva,ndio maana yametengewa siku maalumu ya kuenziwa.

Na muelewe pale mnaposema "Kama mbwai na iwe mbwai."

Msidhani kikinuka nchi hii ,mtapata muda wa kutafuta comments mitandaoni.

Atakayebaki na kubahatika kuja kusimulia,atasinulia akiwa na adabu kuliko sasa ambapo kila kamtu kenye simu janja kanajiita kana harakati.

Mtutu wa bunduki haujawahi kucheka tangu ulipogunduliwa hapa duniani.

Huwa unaacha kilio na adabu kwa waliosalimika nao.
Hiyo sentensi ya mtutu ni Hatare sana
 
Huu ni ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya binadamu. Inaelekea wewe ulikuwa ukimuona Seif Shariff Hamad au Salim Ahmed Salim kimoyomoyo unaona hawa walistahili kuuawa kipindi cha mapinduzi kwa sababu wana damu ya kiarabu.

Ili kukusaidia tu, Wazanzibari wamechanganya damu. Hakuna kizazi pale cha damu pure ya race moja!. Ukienda vizazi vinne nyuma unakuta mtu fulani ndani yake ana damu ama ya kiarabu, kishirazi, mwafrika hata wahindi.

umechelewa kumfahamu Pascal, Jamaa ni mbaguzi mwenye chuki mbaya sana.
 
-Ku-support Zanzibar kutawaliwa na wa-Oman ni upumbavu uliokithiri.
-Kumuamini Ponda na hadaa zake kwa niaba ya Oman ni zaidi ya upumbavu.
NB: Ni kweli wengi(Waarabu) waliawa kwenye mapinduzi na waliporwa ardhi na mali zao.
Swali: Hao Waarabu ardhi waliinunua kwa wenyeji au waliipora? Ni wabantu wangapi waliuawa kwa makusudi au kwenye kusafirishwa wakiwa wapepakiwa kama mifugo au kwa kutumikishwa utumwani?
-Ni kichekesho kuwaonea huruma waliofaidika kutokana na biashara ya utumwa au wale waliofaidika kutokana na kutumikisha watumwa.

Tatizo la watangyika ni ubaguzi, unawatesa sana. Waliouliwa hawakuwa wa Oman bali walikua ni wazanzibari tunatakiwa tufahamu hilo.
 
Back
Top Bottom