walio kufa wengi wao walikuwa wamevaa makanzu baadhi yawatu wakiona hivio wana furahika chuki chukiVideo fake uliitengeneza wewe ??? wapi ?? au kwa sababu hakuna mnyamwezi aliyeuwawa ??
walio kufa wengi wao walikuwa wamevaa makanzu baadhi yawatu wakiona hivio wana furahika chuki chuki
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
watu wa siasa dini yao ni utawala mungu wao ni pesa,hata wakauana sawa tu lakini muisilamu akifia kwenye ujinga huo anakufa akiwa kafiri anaenda motoni tuNa Kina Mbowe tulioambiwa ni gaidi na yule aliyepigwa risasi kwenye viwanja vya Bunge na wale waliookotwa coco beach, Chama chao ni dini gani na kiongozi wao ni mtume gani?
haya mzoga maana yake nn?Kuwa na adabu na utu,watu siyo mizoga
watu wa siasa dini yao ni utawala mungu wao ni pesa,hata wakauana sawa tu lakini muisilamu akifia kwenye ujinga huo anakufa akiwa kafiri anaenda motoni tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
huo ndio ukweli ukitaka amini hivio utaki nenda kawe mwana siasa hili mungu wako hiwe pesa na dini yako kiwe chama chakoUmekuwa msemaji wa mungu ??
huo ndio ukweli ukitaka amini hivio utaki nenda kawe mwana siasa hili mungu wako hiwe pesa na dini yako kiwe chama chako
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ujinga na uongo uliokithiri, khasiri ndiyo nini?Hao watu walipowatumia watumwa kama nguzo za khasiri zoa nani aliwatetea
Baada ya mapinduzi ndio ukaja muungano.?? Hapo uki unganisha dots utagundua mapinduzi ya zanzibar ilitakiwa iitwe mauwaji ya zanzibar
Na hapo lazima kulikuwa na mkono wa ticha
Kiukweli waisilamu waliuawa sana kwa mlengo wa mapinduzi
Bahari imetulia inasubiri uchafuzi uitwao uchaguzi, mauwaji na mateso yaendelee. Tunawasubiri mje na majeshi ya wahutu wa Burundi Kama mwaka juzi muendeleze mauwaji
Tatizo la watangyika ni ubaguzi, unawatesa sana. Waliouliwa hawakuwa wa Oman bali walikua ni wazanzibari tunatakiwa tufahamu hilo.
Acha kupendezeshwa na mauaji ya watu wasio na hatiaWaliouliwa walikua vibaraka wa sultani
Karma inapiga huko kwenu, Lissu anaingia karibuni tulia awanyoosheEndapo mkileta chokochoko hamtavumiliwa
Waliouwa ni nyinyi kanisa Katoliki chini ya mkatoliki mwenzenu Okello mliyemtuma,Waliouliwa walikua vibaraka wa sultani
Waliouliwa walikua vibaraka wa sultani
Hivi nañi alimuua karume na ni Kwa nini?Hata mimi hili limenifikirisha sana.
Ile haraka ya kupindua serikali iliyochaguliwa na wananchi huko Zanzibar ambayo ilikuwa na umri wa mwezi mmoja tu, na haraka ya kufanya muungano baada ya mapinduzi inaonyesha dhahiri waliokimbilia kufanya muungano ni wahusika wakuu wa ile chinjachinja inayoitwa mapinduzi matukufu.
Damu za watu wale wasio na hatia hazitowaacha salama, zitadai haki mbele ya Muumba!