Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijarinu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokew Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia moaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
Wajomba zake samia hao ndiyo maana ana chuki kubwa sana na nyerere na karume hata kuyataja hayo majina huwa awezi ....msikilize sa100 siku akitaja jina la nyerere utagundua kuna kitu.
 
Mapinduzi gani watu wasife??

Unafikiri ni mchezo wa karata?.. Revolution siyo jmbo dogo . Ni kichapo cha nguvu na kinaarndana na kukunyima muda wa kupumua.
 
Tofautisha mapinduzi na mauaji ya Kimbari. Laiti ingepinduliwa serikali na watu wa serikali hilo ni jambo moja, lakini kuvamia majumba na kukamata raia wa kawaida maelfu kwa maelfu na kuwapeleka maporini kuwapiga risasi kwa sababu ya utofauti wa mirengo ya kisiasa hiyo ni mauaji ya Kimbari.
 
Kuficha ushahidi wa mauaji ya kimbari, it seems maiti zilikuwa zinafukiwa ktk makaburi ya halaiki
Ebu nifafanulie.
Sinema inayoonyesha makabuli ya halaiki ilipigwa wakati mmoja na tukio la watu wakikimbia kuokoa uhai wao ama unazungumsia sinema mbili tofauti ulizoziweka kwenye story moja?.
Fujo za Mapinduzi zilidumu kwa masaa manane(kama sijakosea) kusema ndani ya masaa manane watu wanakimbia huku nyuma wakiacha makabuli Itakuwa ni hadithi tata.
 
Wewe unadhani waliouawa kwenye mapinduzi walizikwa na nani?
 
Wajomba zake samia hao ndiyo maana ana chuki kubwa sana na nyerere na karume hata kuyataja hayo majina huwa awezi ....msikilize sa100 siku akitaja jina la nyerere utagundua kuna kitu.
Wacha uongo wewe, unapata faida gani kwa kumzushia mama Samia uongo huu?
 
Ebu nifafanulie.
Sinema inayoonyesha makabuli ya halaiki ilipigwa wakati mmoja na tukio la watu wakikimbia kuokoa uhai wao ama unazungumsia sinema mbili tofauti ulizoziweka kwenye story moja?.
Fujo za Mapinduzi zilidumu kwa masaa manane(kama sijakosea) kusema ndani ya masaa manane watu wanakimbia huku nyuma wakiacha makabuli Itakuwa ni hadithi tata.
Mauaji yaliendelea kwa masiku kidogo katika maeneo ya nje ya mji (soma no. 20).

Hiyo filam inaitwa 'Africa Addio' ilichukuliwa na film crew ya wataliana kwa kutumia ndege. Ilianza kuonekana kwenye mitandao katika miaka ya tisini.
 
Mleta Mada tafuta cha kufanya ili upate ujira na kuihudumia familia yako kama ipo!

Hii mambo ya kujifanya mnajua haki kuliko!
Ni mtindio wa mawazo unaowasumbua tu!

Mapinduzi siyo Bongo fleva,ndio maana yametengewa siku maalumu ya kuenziwa.

Na muelewe pale mnaposema "Kama mbwai na iwe mbwai."

Msidhani kikinuka nchi hii ,mtapata muda wa kutafuta comments mitandaoni.

Atakayebaki na kubahatika kuja kusimulia,atasinulia akiwa na adabu kuliko sasa ambapo kila kamtu kenye simu janja kanajiita kana harakati.

Mtutu wa bunduki haujawahi kucheka tangu ulipogunduliwa hapa duniani.

Huwa unaacha kilio na adabu kwa waliosalimika nao.
 
Inaonekana zimekuwepo jitihada za makusudi kuizima hii video isionwe na watu wengi.
 
Mleta Mada tafuta cha kufanya ili upate ujira na kuihudumia familia yako kama ipo!

Hii mambo ya kujifanya mnajua haki kuliko!
Ni mtindio wa mawazo unaowasumbua tu!

Mapinduzi siyo Bongo fleva,ndio maana yametengewa siku maalumu ya kuenziwa.

Na muelewe pale mnaposema "Kama mbwai na iwe mbwai."

Msidhani kikinuka nchi hii ,mtapata muda wa kutafuta comments mitandaoni.

Atakayebaki na kubahatika kuja kusimulia,atasinulia akiwa na adabu kuliko sasa ambapo kila kamtu kenye simu janja kanajiita kana harakati.

Mtutu wa bunduki haujawahi kucheka tangu ulipogunduliwa hapa duniani.
.
Huwa unaacha kilio na adabu kwa waliosalimika nao.
Achana na habari za kutukuza genocide kwa kisingizio cha mapinduzi.
 
Wacha uongo wewe, unapata faida gani kwa kumzushia mama Samia uongo huu?
Uongo gani wewe mpuuzi ...kwani unadhani ni bahati mbaya kwa samia kumchukia nyerere kuliko hata magufuli ? Huo ndiyo ukweli
 
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijarinu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokew Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia moaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
Video hii ni fake!. Karibu na mitaa hii Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila Majibu -1
Na hii Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

P
 
Mauaji yaliendelea kwa masiku kidogo katika maeneo ya nje ya mji (soma no. 20).

Hiyo filam inaitwa 'Africa Addio' ilichukuliwa na film crew ya wataliana kwa kutumia ndege. Ilianza kuonekana kwenye mitandao katika miaka ya tisini.
Jibu halijajibiwa..hiyo ndege ya waitaliano iliyokuwa inachukua hiyo sinema ilikaa angani masiku mangapi hadi kuonyesha matukio mawili ya watu wakikimbia na huku nyuma wakiacha makabuli?.
Fujo zidumu masaa manane ndani ya masaa manane watu wakimbie huku wakichimba makabuli na kuzikana, kweli?.
 
screengrab-20230114-222724.jpg
 
Back
Top Bottom