Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Ebu nifafanulie.
Sinema inayoonyesha makabuli ya halaiki ilipigwa wakati mmoja na tukio la watu wakikimbia kuokoa uhai wao ama unazungumsia sinema mbili tofauti ulizoziweka kwenye story moja?.
Fujo za Mapinduzi zilidumu kwa masaa manane(kama sijakosea) kusema ndani ya masaa manane watu wanakimbia huku nyuma wakiacha makabuli Itakuwa ni hadithi tata.
Click hii video imeachiwa miaka ya 1990 baada ya mauaji ya Rwanda. Wakazungumzia kilichotokea Zanzibar in 1960 kwa ushahidi wa video.

Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijarinu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokew Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia moaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
Siwezi kusema mengi ila Ile video full ipo miaka ya nyuma kumiliki, kuonyesha ilikuwa ni uhaini sijui miaka hii, kuna baadhi nikiwemo mimi nshaiona nikiwa ulaya, nilipewa DVD na vcd, kuna mafia mmoja aliniazima chotara Fulani kikosi Cha ukachero.

Aliniambia kabisa ingia YouTube au hii video sio huko kwenu sitakupa uende nayo, na akanipa na video nzima documentary ya Mapank ya Samaki story ya mwanza nikaona, na umafia wa silaha wa Warusi wakiruka na madege makubwa kimo Cha chini kukwepa rada wakishusha silaha na wakati wakienda DRC, ilibidi niamini sio kweli na maisha yanaendelea.

Nina hasira ngoja niishie hapa
 
liniambia kabisa ingia YouTube au hii video sio huko kwenu sitakupa uende nayo, na akanipa na video nzima documentary ya Mapank ya Samaki story ya mwanza nikaona, na umafia wa silaha wa Warusi wakiruka na madege makubwa kimo Cha chini kukwepa rada wakishusha silaha na wakati wakienda DRC, ilibidi niamini sio kweli na maisha yanaendelea.
Naikumbuka vizuri ile video ya mapanki ilileta mtafaruku mkubwa. Jamaa alikaa Mwanza na kufuatilia issues kimya kimya baadae ndiyo akatoa hiyo documentary.
 
Wewe unasoma tu historia ya mapinduzi, baadhi yetu tumekuwa sehemu ya hiyo historia, yaani sisi na wazee wetu walishuhudia baadhi ya mauaji live kabisa.
Masimulizi yoyote ya Fujo za zanzibar yasiyompa heshima J, OKELO ni batili.
Wazee wenu wame turn upside down history ya Fujo hizo ili kuunda history bandia kwa manufaa yao.
 
Mapinduzi sio Taarabu lzm damu imwagike.

Inasikitisha watu kuuwawa lkn wakati mwengine maamuzi magumu ni muhimu

Tungewalaani sana kama wangewaachia wafalme Waendelee kututawala
 
Mapinduzi sio Taarabu lzm damu imwagike.

Inasikitisha watu kuuwawa lkn wakati mwengine maamuzi magumu ni muhimu

Tungewalaani sana kama wangewaachia wafalme Waendelee kututawala
Huwezi ukauwa raia waliokuwa hawana hata panga mitaani alafu ukaita mapinduzi yale yalikuwa mauaji sio mapinduzi.
 
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
Wale waliouawa na nyerere vp?
 
Mkuu inawezekanaje mapinduzi siku hiyo hiyo na makaburi pia!?

hayo matukio unayoyaona hapo siyo ya siku ya mapinduzi, hiyo video ilirekodiwa wiki moja baada ya mapinduzi. kwahiyo mauaji yalikua ya kiendelea hata baada ya mapinduzi kuisha.
 
Ebu nifafanulie.
Sinema inayoonyesha makabuli ya halaiki ilipigwa wakati mmoja na tukio la watu wakikimbia kuokoa uhai wao ama unazungumsia sinema mbili tofauti ulizoziweka kwenye story moja?.
Fujo za Mapinduzi zilidumu kwa masaa manane(kama sijakosea) kusema ndani ya masaa manane watu wanakimbia huku nyuma wakiacha makabuli Itakuwa ni hadithi tata.

mauaji yalidumu kwa karibu wiki tatu mpaka mwezi, hiyo video ya hapo ni kwenye 18 January kwa mujibu ya wachukuaji hiyo video.
 
hayo matukio unayoyaona hapo siyo ya siku ya mapinduzi, hiyo video ilirekodiwa wiki moja baada ya mapinduzi. kwahiyo mauaji yalikua ya kiendelea hata baada ya mapinduzi kuisha.
Na karume mwenyewe alikuwa amejificha
 
Back
Top Bottom