Hizi sabuni za imperial siku hizi tunapigwa

Zamani hii nembo ilibaki hata baada ya sabuni kuisha. Lakini siku hizi nembo inaaanza kutoka na kuiacha sabuni bila jina la brand? Au gundi zimepanda bei?🤣🤣

View attachment 2212384
Hizo imperial Leather tokea miaka ya 80 zilikuwa sabuni pendwa za familia, nyingine ni Lifebuoy.

Hiyo Label ni kweli ilikuwa haibanduki hadi unatupa kipisi.
Kwasasa Nina allergy na sabuni zote zenye manukato sizitumii maana zinaniletea Mafua.

Huenda kunafekelo siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…