Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Mkuu hilo liko wazi mimi ni mtumiaji sana wahizo sabuni hata harufi ni tofauti. Kuna za UAE, Singapore, Pakstani, South Afrika na nk. Kwa maeneo ya huku unguja zinapatikana sana hizi Asia Material. Hali ni hivo hivo kwa Colgate test inabadilika kwa kila Colgate unayonunuaZamani hii nembo ilibaki hata baada ya sabuni kuisha. Lakini siku hizi nembo inaaanza kutoka na kuiacha sabuni bila jina la brand? Au gundi zimepanda bei?🤣🤣
View attachment 2212384