Hizi sabuni za imperial siku hizi tunapigwa

Hizi sabuni za imperial siku hizi tunapigwa

Sabuni nzuri sana hizo,nimezitumia na nazitumia toka enzi,ila bei yake imechangamka kidogo,hasa baada ya Ukraine kuzinguana na Mrusi.
 
Sio hizo sabuni tu feki, saivi hata watu ni feki...
 
Fake hizo lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe utakua unaitumia kunyongea nyani.
Achana na huo mchezo siku hizi buku yako unapata Dem.
 
IMG_20220506_210908_mfnr.jpg

OG yenyewe
 
Kwa kweli siku hizi sabuni tunapigwa balaa na bei nazo si haba tangu mwaka jana mwishoni nainunua kwa 3k

Na hako kadude kanabanduka siku hiyo hiyo.

Ile harufu yake nayo si hii iliyopo
 
Back
Top Bottom