Hizi sabuni za imperial siku hizi tunapigwa

Hizi sabuni za imperial siku hizi tunapigwa

kuna ambazo hata harufu hazina tena yaani full uchina na uchakachuaji, kimsingi brand hiyo ni ya zamani sana na matata kwahiyo wachina lazima waichakachue tu hakuna namna
 
Zamani hii nembo ilibaki hata baada ya sabuni kuisha. Lakini siku hizi nembo inaaanza kutoka na kuiacha sabuni bila jina la brand? Au gundi zimepanda bei?[emoji1787][emoji1787]

View attachment 2212384
Bongoland kila kitu feki!
Angalia ukubwa wa boksi na tyubu, halafu ujazo nusu ni upepo!
1669470330810.jpg
 
Back
Top Bottom