Hizi sabuni za imperial siku hizi tunapigwa

Zamani hii nembo ilibaki hata baada ya sabuni kuisha. Lakini siku hizi nembo inaaanza kutoka na kuiacha sabuni bila jina la brand? Au gundi zimepanda bei?🤣🤣

View attachment 2212384
Mkuu hilo liko wazi mimi ni mtumiaji sana wahizo sabuni hata harufi ni tofauti. Kuna za UAE, Singapore, Pakstani, South Afrika na nk. Kwa maeneo ya huku unguja zinapatikana sana hizi Asia Material. Hali ni hivo hivo kwa Colgate test inabadilika kwa kila Colgate unayonunua
 
Jina la sabuni hiyo nembo inakuwa ni ya moto ipo kwenye sabuni sio hiyo label,hizo sabuni zinatoka Congo.
 
Hata Cocacola ya California ni tofauti na ya Bonite
 
Same nami imperial leather was best of my soap now nikitumia mafua ya hatari nimeamua kutumia protex nyeupe
 
Imperial leather soap zipo aina saba



Hyo iliyofunguliwa ndio imetumika pembeni n shower gel yake



Mpaka lotions zake zipo hvyo body wash na lotion zipo aina saba ukihitaji kwa jumla nicheki.

Mzigo Ni kutoka PZ cussons kiwandani
 
Katoni bei gani bwana chalii? Kubwa na ndogo
Mkuu Imperial sabuni, body wash na lotion zipo kwa jumla niambie unapatikana mkoa gani tuweze kukufikishia.

Ukiwa Arusha na Moshi delivery n free boss wangu.

Karibuni kwa Biashara wandugu.
 
Mkuu Imperial sabuni, body wash na lotion zipo kwa jumla niambie unapatikana mkoa gani tuweze kukufikishia.

Ukiwa Arusha na Moshi delivery n free boss wangu.

Karibuni kwa Biashara wandugu.

Bei gani katoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…