kuna ambazo hata harufu hazina tena yaani full uchina na uchakachuaji, kimsingi brand hiyo ni ya zamani sana na matata kwahiyo wachina lazima waichakachue tu hakuna namna
Zamani hii nembo ilibaki hata baada ya sabuni kuisha. Lakini siku hizi nembo inaaanza kutoka na kuiacha sabuni bila jina la brand? Au gundi zimepanda bei?[emoji1787][emoji1787]