Simu zote refurb zinaiuzwa bei rahisi mkuu, katafute Note 10 mpya ama refurb yenye official warranty, itakua zaidi ya milioni.Samsung zina depreciate fasta sana.
Pole mkuu ilikuwa bahati mbaya tu kwako. Jamaa hawakukuweka wazi kama ni used?? Yani walikwambia ni brand new!Ushauri wa buree...achana kabisa na hizo simu utajutaa hakuna mpuuzi ambaye anafanya biashara bila kulenga faidaa...simu za samsung nyingi kwa bei hiyo sio mpyaa ni refub au used ila ukiiona unaweza sema ni mpyaa hadi box wanakupa.
Mimi nimewahinunua Note 10+ 900k kuna jamaa wako pale Mcity simu ilikua mpya kwenye box ila nimetumia almost miezi miwili simu inachemka na ilikuja kuwa na mchezo wa kuzima na kuwaka non stop baada ya kuupdate, Mafundi wote iliwagomea wanasema box lina information tofauti nasimu kwaiyo nilifanyiwa uhuni mpka sasa nimeamua tuu kuifungia kabatini...ukitaka simu nzuri nenda kwa samsung official dealers, hivi vitu vya bei rahisi ni hasara tupu! USIJARIBU Ila kama unataka kuprove kanunue ujionee.
Thanks forIpo simu inaitwa Samsung A52S ni midrange ila ni premium zaidi waterproof, 3.5mm jack, sd card, ram 6 mpaka 8GB, storage kuanzia 128, kioo Amoled 120hz, perfomance sawa na note 10 etc. Bei 720K kenya Mpya, sijajua hapa Bongo zinaendaje madukani, its worth it over refurb.
Ipo simu inaitwa Samsung A52S ni midrange ila ni premium zaidi waterproof, 3
Galaxy f62 ndo sawa Na note 10.5mm jack, sd card, ram 6 mpaka 8GB, storage kuanzia 128, kioo Amoled 120hz, perfomance sawa na note 10 etc. Bei 720K kenya Mpya, sijajua hapa Bongo zinaendaje madukani, its worth it over refurb.
Unamaanisha soc?Galaxy f62 ndo sawa Na note 10