Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol 600k yangu