Hizi sio mboga ni jaza tumbo

Zote napiga sema sipendi mboga saaana na ndo kilichopo hapa lazima ule au ufeπŸ˜‹

,matembele ndo nitakula sana, na mchicha
πŸ˜‚πŸ˜‚,
 
Ndio mboga iliyowakuza Watanzania acha dharau
 
Hujui kitu kuhusu virutubisho..!!
 
Ndio mboga iliyowakuza Watanzania acha dharau
Udumavu bado ni tatizo mkuu. Fuatilia watu wanajaza tumbo kwa vitu visivyo na virutubisho. Na hii miili sio yetu. Ushawahi msikia Okonkwo
 
Tulianza na mila na desturi za kwetu kwamba ni za kishenzy ambazo kwa sasa tunatumia nguvu kubwa kuhakikisha zinarejea; sasa tumehamia kwenye vyakula. Doh, kazi kweli kweli!
 
1. Kusimamia kucha ndo uanaume mkuu?
2. Mfalme Solomoni alikua na pisi buku alikula kisamvu na matembele?
Ndo maanq nlisema hayo ni magugu mnayaremba na nyanya [emoji534] [emoji1647] kitunguu ili myape cheo cha mboga.
Alikula za kipindi hicho we pisi buku utazimudu kwa kula piza na bugger?
 
Alikula za kipindi hicho we pisi buku utazimudu kwa kula piza na bugger?
Tofauti iliyopo kati ya burger πŸ” na ugali harage kisayansi ni kwamba burger ni wanga iliyookwa na protein iliyo kaangwa, ugali harage una wanga na protini vilivyopikwa kwa maji.
Sasa hayo ni yale yale
 
Tembele linaongeza damu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…