Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Zote napiga sema sipendi mboga saaana na ndo kilichopo hapa lazima ule au ufe😋
,matembele ndo nitakula sana, na mchicha
😂😂,
,matembele ndo nitakula sana, na mchicha
😂😂,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mboga iliyowakuza Watanzania acha dharauKuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali ni shushia ugali tu.
Anazo basi?🤣Pesa kidogo umeanza ku google madhara ya kisamvu na matembele.
Hujui kitu kuhusu virutubisho..!!Kuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali ni shushia ugali tu.
Dah..kwahiyo ukija huku Kinshasa au lubumbashi tukutafutie mboga zingine maana sombe au kisamvu ndio uhakika hukuMimi kisamvu sili maisha yangu yote, siipendi hata ipikwe kwa nazi 10!
Udumavu bado ni tatizo mkuu. Fuatilia watu wanajaza tumbo kwa vitu visivyo na virutubisho. Na hii miili sio yetu. Ushawahi msikia OkonkwoNdio mboga iliyowakuza Watanzania acha dharau
Kuna nyimbo moja ya zamani nilisikia wakiimba ugali na sombe kumbe ndo hilo janimwitu?Dah..kwahiyo ukija huku Kinshasa au lubumbashi tukutafutie mboga zingine maana sombe au kisamvu ndio uhakika huku
Hahahahaha ewaa ndio hy...ni mboga maarufu sana hy DRCKuna nyimbo moja ya zamani nilisikia wakiimba ugali na sombe kumbe ndo hilo janimwitu?
Tulianza na mila na desturi za kwetu kwamba ni za kishenzy ambazo kwa sasa tunatumia nguvu kubwa kuhakikisha zinarejea; sasa tumehamia kwenye vyakula. Doh, kazi kweli kweli!Kuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali ni shushia ugali tu.
Alikula za kipindi hicho we pisi buku utazimudu kwa kula piza na bugger?1. Kusimamia kucha ndo uanaume mkuu?
2. Mfalme Solomoni alikua na pisi buku alikula kisamvu na matembele?
Ndo maanq nlisema hayo ni magugu mnayaremba na nyanya [emoji534] [emoji1647] kitunguu ili myape cheo cha mboga.
Wachaga na kisamvu ni maji na mafuta, nasikia mna historia mbaya na kisamvu....hamli kabisaMimi kisamvu sili maisha yangu yote, siipendi hata ipikwe kwa nazi 10!
Mimi kisamvu sili maisha yangu yote, siipendi hata ipikwe kwa nazi 10!
Tofauti iliyopo kati ya burger 🍔 na ugali harage kisayansi ni kwamba burger ni wanga iliyookwa na protein iliyo kaangwa, ugali harage una wanga na protini vilivyopikwa kwa maji.Alikula za kipindi hicho we pisi buku utazimudu kwa kula piza na bugger?
Wachaga na kisamvu ni maji na mafuta, nasikia mna historia mbaya na kisamvu....hamli kabisa
Kitu mbuzi akila anakufa. Binadamu unakulaje?Wachaga na kisamvu ni maji na mafuta, nasikia mna historia mbaya na kisamvu....hamli kabisa
Mbona hatufi sasa?Kitu mbuzi akila anakufa. Binadamu unakulaje?
Wacongo wangekufa wote maana kinalika iwe asubuhi,mchana au jioni na kila nyumbaKitu mbuzi akila anakufa. Binadamu unakulaje?
Hahahahaha..Mbona hatufi sasa?
Tembele linaongeza damu mkuuKuna baadhi ya majani tumeamua kuyatunuku cheo kwamba ni mboga za kushushia na chakula.
Ila mimi nazipinga.
Mfano:
Majani ya maboga
Kisamvu
Mchunga
Majani ya kunde
Matembele
Mlenda
Mengine nimesahau majina.
Tuache kuyapakazia kuwa ni mboga, tunayasingiziq na hayana manufaa yoyote mwili bali ni shushia ugali tu.
Ina madini chuma? Uthibitisho kwa hilo? Isije ikawa dhana tu maana hata fruto walishawahi inaongeza damu kisa ina rangi nyekundu.Tembele linaongeza damu mkuu