Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

Kuna waliosomea uandishi wa habari lakini hawana ujasiri wa kuhoji mambo ya Msingi kama hayo, watupu.
Kuna watu wamekariri uandishi wa habari lazima usomee.

Wakati ma legend wengi hawakusomea, wamefanya kwa uzoefu.

Ukiwasoma kina Larry King, Peter Jennings etc hawakusomea, kwa sababu walianza kazi wadogo sana wakaamua kujifunza kazini (practical) badala ya kujifunza shuleni (theory).

Siku hizi, unless upo katika licensed field kama utabibu au uanasheria, degree, kwenye mambo kama utangazaji, zinaonekana hazinanm umuhimu sana kama uzoefu, utashi binafsi wa mtu na kipaji.
 
Na hayo madarasa wanayojenga hayana walimu.


Poor TZ
 
Nakumbuka wakati flani tunasotea bumu mtangazaji mmja akatukosoa basi kesho yake na mapema tuñakuta vyeti vyake ubaoni halafu daa hii nchi Ni noma sana
 



Zaidi zaidi labda per diem za safari kila uchao lakini madarasa yanajengwa wapi ? [emoji2369]

Je Gharama ya madarasa ni kubwa kiasi gani ? Je yanaendana na thamani ya mikopo?

Je makusanyo ya ndani hayatoshi kujenga madarasa na zahanati?

Maswali ni mengi kuliko majibu aisee!
 
Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.

Anayemjua vizuri atupe za ndani
Computer engneering ni kasomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…