Sijamzingizia nimesema wameshawahi mtuhumu hvyo...nimenukuu waliyoyasema watu...Babako alikuwa au kama bado yupo hai ni mchicha mwiba! Unapenda kusingizia wenziyo na kuwatuhumu kwa mambo ambayo wazi ni ya uwongo. Huoni Gerald ana mke na watoto, tena wanaye wengine ni watu wazima?
Yani nyie wapumbavu,yote haya kisa interview moja
Mpuuzi huyu mtu nachukia mtu anaetukana wazazi wa mtu,nimemchukia na sijamsameheTena haswaaaaaaaah najiharishiaa,. Ila heshimu wazee wa watu khaaah. Sijui ukojee.
Seki Alissoma Iyunga tech mbeyayes alikuwq mwaka mmoja na seki
sio advance kaka,tunamaanisha chuo kikukuuSeki Alissoma Iyunga tech mbeya
Pale wanasoma pia plumbing
Kama gerald nae alipita pale basi atakuwa kasoma which is OK
Dogo unapenda ushoga nao umekupenda
Sizungumzii Gerald, ila huu utetezi usiutumie tenaBabako alikuwa au kama bado yupo hai ni mchicha mwiba! Unapenda kusingizia wenziyo na kuwatuhumu kwa mambo ambayo wazi ni ya uwongo. Huoni Gerald ana mke na watoto, tena wanaye wengine ni watu wazima?
Us ina miaka 200 tangu ipate uhuru lkn wanaongoza kwa madeni.... Hakuna nchi duniani isiyokopa.Acheni kupenda kukopa kopa hovyo, na mwisho wa siku kuwatesa wananchi kupitia mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu.
Watanzania Wazalendo wote tuko upande wake. Wenzenu wanakopa kwa malengo, nyinyi mnakopa ili kujengea vyumba vya madarasa, na vituo vya afya! Yaani miaka zaidi ya 60 bado mnapambana dhidi ya maadui wale wale; ujinga, maradhi, na umaskini!!
Shame on you.
Na magu ndio katuletea huu ujinga, enzi za kikwete hata atukanwe yee anacheka tu.ukikosoa serikali kumbuka haya : sio mtanzania,umetumwa na wapinzani,gaidi,elimu feki,utakatishaji na mwisho wa siku ujulikani umepotea wapi
Unafikiri ukiwa mwandishi wa habari ndio uandike au useme chochote?Kuna waliosomea uandishi wa habari lakini hawana ujasiri wa kuhoji mambo ya Msingi kama hayo, watupu.
Wala hakusema hivyo Ila alifafa vizuri Sana mambo ambayo tuliokua hatuyajui wananchi alieleza masharyi ya mikopo na namna yanavyodidimiza uchumi kwa sababu hayaruhusu uongeze mshahara Wala uajiri na wanataka upunguze wages kitu ambacho kinaua uchumi wa nchi maana watu wanakaa bila ajira.Kosa la Hando ni kusema kuwa hapendi serikali inavyokopa-kopa.
Achana nae dear, ana stress za maisha huyoo, c January hii.Mpuuzi huyu mtu nachukia mtu anaetukana wazazi wa mtu,nimemchukia na sijamsamehe
Umeniiitika na kunikubaliii haswaaa, ushoga 4 life.Dogo unapenda ushoga nao umekupenda
Muambie huyoooo.Sizungumzii Gerald, ila huu utetezi usiutumie tena
Mashoga huwa na family pia
Wamwache JKKikwete kafanya Nini?
Kwanini tatizo lisiwe Mimi na wewe.
Tayari tushamtafutia nchi huyu ni mrundi tu.Bado wale wa uraia hawajaibuka..
Yes, wewe ulisikia vizuri sana. Hiki kitu alikiongea vizuri sana siku ya kwanza na akafafanua masharti kama hayo kwamba hatutakiwi kuongeza matumizi kwa kuajiri.Wala hakusema hivyo Ila alifafa vizuri Sana mambo ambayo tuliokua hatuyajui wananchi alieleza masharyi ya mikopo na namna yanavyodidimiza uchumi kwa sababu hayaruhusu uongeze mshahara Wala uajiri na wanataka upunguze wages kitu ambacho kinaua uchumi wa nchi maana watu wanakaa bila ajira.
BAHATI MBAYA SERIKALI YA FISIEMU NI KIPOFU
Wanakopa kwa malengo! Ni wazalendo kwa nchi yao. Vipi kuhusu sisi? Tunakopa kwa malengo? Au ndiyo yale ya kukopa ili kwenda kulipa madeni mengine?Us ina miaka 200 tangu ipate uhuru lkn wanaongoza kwa madeni.... Hakuna nchi duniani isiyokopa.