Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangapi wameoa makahaba?,Acha ujuajiAcha kumfananisha mke na vitu vya kijinga. Oa sasa huyo kahaba kama umeona mwanaume anachohitaji ni viuno tuu
Ni bora umlipe malaya anayekuridhisha nje kuliko kuwa na mwanamke mvuta midomo ndani ya nyumba mkuuHuyo wa nje analipwa mkuu, afu huyu wa ndani halipwi ndo tofauti. Wa nje unamgharamikia hata laki lakini wa ndani hata dera la elfu 5 humnunulii.
Ume comment utumbo wa nguruweHuyo wa nje analipwa mkuu, afu huyu wa ndani halipwi ndo tofauti. Wa nje unamgharamikia hata laki lakini wa ndani hata dera la elfu 5 humnunulii.
ni kwelii malaya sioHuyo wa nje analipwa mkuu, afu huyu wa ndani halipwi ndo tofauti. Wa nje unamgharamikia hata laki lakini wa ndani hata dera la elfu 5 humnunulii.
Acha kumfananisha mke na vitu vya kijinga. Oa sasa huyo kahaba kama umeona mwanaume anachohitaji ni viuno tuu
Wa ndani natoa hela Kila siku wa nje mpaka niwe na ny*geHuyo wa nje analipwa mkuu, afu huyu wa ndani halipwi ndo tofauti. Wa nje unamgharamikia hata laki lakini wa ndani hata dera la elfu 5 humnunulii.
Ukimweka ndani nae huwa hovyo kuliko hata uliye naeUna hoja aiseeee makahaba wako vizuri sana kwasababu kila alie na msuli anapita, kwahiyo wanapata uzoefu mkubwa
Sahihi kabisa maana kunguru hafugikiUkimweka ndani nae huwa hovyo kuliko hata uliye nae
Muda mwingine usituonyeshe ni jinsi gani ulikosewa kuumbwa na jinsia ya kiume. Kama mkeo hakati mauno ni kwakua anajua huna la kumpa kimoko chali akija kwetu mbona anabinuka hadi style za mijusi. Ushamba wako ustuletee.Ukatae au Ukubali,wengi wa wanaume wanataka wanapofanya tendo la ndoa waridhike.
Unakuta mwanaume analala na mwanamke wake lakini janamke limekuwa kama gogo tu ndani ya nyumba,ukiliambia geuka uiname hivi linakuvutia midomo kama manati.Unadhani mwanaume gani anataka kero?,Mwisho wa siku akipita Magomeni pale akakuta mama poa yakaanza kumshika shika pumbu kwa bashasha huku yakimkatikia mauno ya karne ataacha kupiga?.
Nyumbani kwako ukimwambia mwanamke twende tukaoge lenyewe linavuta midomo kama kisonso,halafu hapo Buguruni mnaingia wote na kahaba kuoga sasa mniambie hapa mwanaume gani ataacha kununua kahaba?
Unakuta janamke linanuka kutwa nzima haliogi,Kuoga mpaka mpigizane kelele,umetoka ummenda zako kupiga urabu mahali fulani ukakutana na mtoto wa Singida ananukia utuli wenye laana,unadhani utaacha kupiga?
Umelichia li mwanamke lako hela nyumbani ukiwa na matumaini ukirudi ukute msosi,wewe unatoka kwenye mihangaiko au kazini unakuta limelala kwenye kochi linatazama tamthilia ya huba,ukiliuliza kuhusu chakula linakujibu kwa nyodo na dharau kwamba halijapika limechoka.
Unaondoka zako unasogea Mwenge hapo kupata msosi unakutana na mwanamke ambaye anatabasamu muda wote,unadhani utaacha kupiga?
Una mwanamke wako ambaye yeye kutwa kushinda kwao,ukimwambia aje upige mashine analeta sababu za kijinga,unaamua kutoka zako unaibuka pale Mabibo unakutana na toto lenye shepu kuliko hata mwanamke wako,unaliimbisha linajaa,unadhani hutapiga?
Mwanamke anakuletea nyodo na dharau ndani na ajifanya kulala mzungu wa nane,unambembeleza lakini anajifanya kukaza,kwa hasira unaondoka zako unaelekea triple 777 kupata moja moto na moja baridi!,Mara ghafla muhudumu huyo anakuja anajichekesha na ukisema nae anaitikia,unadhaji utaacha kupiga?
Kwa kifupi
Mwanaume hana Tamaa ila mwanamke ndiye anasababisha mwanaume awe na tamaa!
Jamani🙌Huyo wa nje analipwa mkuu, afu huyu wa ndani halipwi ndo tofauti. Wa nje unamgharamikia hata laki lakini wa ndani hata dera la elfu 5 humnunulii.