We jamaa aisee, kwa style Hio utakua unalipia na Bei ya ziada, kupiga Malaya peku peku ?
Kuna kisa kimoja ngoja nikupe, Kuna mwanangu siku kanchekesha sana, anadai alipata Malaya akanogewa akachuku namba, akawa anapiga Kila akipata kiu huduma kama zote, siku akamuomba yule Malaya wakapime ngoma ili awe anapiga kavu, dem kakubali wakapima wote wapo fresh
Jamaa akaanza kupiga kavu, baada ya siku umwa sana full kuwashwa akawa haelewi, akaenda hosp ikabidi afanye full blood picture, la haulaa.... Majibu yanakuja docta akamchana live ''miaka yangu yote ya kufanya kazi sijawahi Kuona case kama hii ya kwako"
Mwamba alikutwa karibia na magonjwa yote ya zinaa kasoro ngoma tu, alicheza na sindano na dawa karibia mwezi!!!
Hawa wadudu ujinga wao mtu akiongeza dau wanampa kavu,chunga Mzee utapata gono sugu, kaswende chronic na hepatitis ambayo Haina tibu pia!!!