Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Wengi watapinga lakini hakuna ndoa kama tendo la ndoa mnapeana kwa kupimiana kama dawa iwe mwanamke au mwanaume hakuna maana ya ndoa, maendeleo hta wasio na ndoa hayo maendeleo wanafanya. Kikubwa tubadilike Asante kwa ukumbusho mtoa mada.
 
Likizo ya pasaka haijaisha mrudi shule!??
 
Tukana uone
 
Waulize wanaume wanaochepuka na wake za watu wakwambie kama ulichoandika ni kweli[emoji1] vile unavomuwazia mkeo ndivyo nayy anakuwazia hivyo hivyo tena huko nje anavuta kitanda na anapiga bao zaidi ya moja teh teh teh

Ndoa inahitaji ubunifu tena sio mke tu anaepaswa kua mbunifu ni wote


Enewei OA KAHABA.
 
Sio kweli kama kitu hapendi ni hapendi tu hivi unafikiri mpaka watu wanacheat hawajayaongea wee bhna wew
Kwahyo unacheat ili ukagundue nini kama hupendi kufanya mapenzi. Na ndio leo naskia kwako kwamba kuna mtu hapendi kufanya mapenziπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani mko sawa hakuna mwenye ugonjwa hakuna harufu mbaya kitandani show kali alafu mtu asipende kufanya mapenzi na mwanandoa mwenzakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna mambo ngoja ninyamaze tu
 
Labda nikusahihishe. Malaya hana muda wa kukukatia ki/viuno. We kojoa, lipa, ondoka.
Mwenye hizo sifa unazotoa ni mchepuko. Michepuko inajua. Na inateka hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…