Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Wanafunzi wakibakwa au kutiwa mimba mnawafunga Watu miaka 30, wakijitolea Watu hamtaki, mnataka nini wanadamu!? Hii ni biashara tangia uumbaji WA Dunia, tuwawekee taratibu za kujisajili na kuchangia Pato la Taifa ili watoto na wadogo zetu walioamua kusoma wawe salama , na kuondoa muingiliano
 
Mkuu nadhani wewe ndoa yako ni changa haijavuka miaka 10.

Ndoa za umri huo ndiyo zina mambo hayo mengi.

Nikwambie sasa, mwanamke hata kama ni mrembo kumzidi Cleopatra ukamuoa, kadri siku zinavyosonga ndivyo kwako anavyokuwa "garasa"!

Ajirembe ajirembueje, siku zinavyozidi kusonga ndivyo kwako anavyozidi kuwa "dada".

Na mkazaa watoto wa kutosha, mshajenga maisha yenu pamoja na kutimiza ndoto zenu zingine, mkeo anageuka kuwa ni ndugu!

Urembo na mvuto wake utaonwa na wengine, lakini siyo wewe mwandani wake!

Hakuna ulinganifu wa ndoa changa na ndoa kongwe, ni tofauti kubwa sana iliyopo!

Ninayaongea haya kwa uzoefu.

Ninakumbuka matendo ya miaka ya mwanzoni ya ndoa, namna mke alivyoninyanyasa kwa nyodo kabla sijamuoa, nikatumia nguvu na vitisho vingi mpaka nikampata!

Nilijiapiza kuwa huyu nikifunga naye ndoa nitamfanya mtumwa wa ngono kumkomesha anachoringia!

Kweli tulianza hivyo kwa kumuwashia moto mwingi, lakini leo baba ndoa ina zaidi ya miaka 30, natamani niishi chumba cha peke yangu tukutane asubuhi sebuleni.

Upendo uko pale pale, lakini 'muhu' na kihere here hupotea vyenyewe mnabakia tu kuangaliana!

Wadhani mchezo wewe!

Ndiyo maana ulivyoongea nikahisi kabisa kuwa wewe una ndoa mpya kabisa isiyozidi umri wa miaka 10.

Kwanza bado una "kisirani" cha kufunga magoli huku umemdhibiti kwa kumkunja golikipa asiweze kudaka mashuti yako, yaani ufunge hata magoli ya mkono na uyahalalishe, game gani la hivyo!

Sasa unadhani akikutosheleza kwa hayo uliyoyasema ndiyo utatulizana nyumbani, jambo ambalo haliwezekani.

Kwani ukitamani vya nje, shemeji ana wivu sana kukufuatilia kisogoni kila kona, embu mwache jinsi alivyojichagulia kuishi bhana.

Mambo hayo ya kinamama kubweteka baada ya kuolewa ni jambo la kawaida, si kwako tu, karibia %90 ya wanawake walioko kwenye ndoa ndiyo maisha yao hayo, asikudanganye mtu.

Ndiyo maana wananenepa sana, hata ukiwa barabarani ni rahisi sana kusoma haiba ya mke wa mtu kutokana na siha yake.

Mkuu mpende mkeo kutokana na alivyo.
mimi manzi akishakuwa na kalio basi

siwezi mchoka hta iwejeeeeee
 
GENTAMYCINE hua tunapishana kwenye Mambo ya siasa Ila kwa hili, tuko pamoja.
Unakuta mwanamke anakuganda siku za weekend hata ukitaka kwenda kwenye grocery ya jirani anakufuata ili mradi tu usisalimiwe na warembo. Unajisemea kwa kua leo tuko Benet baas usiku lazima nipate haki yangu.
Inafika usiku vijisababu vya ovyo vinaanza, Mara kichwa au tumbo kinauma, Mara siko kwenye mood. Yaani, we acha tu.
 
improve your working performance, mwanamke akishajua hyu mwanaume ni Nyundo ya Thor basi nakuambia anaweza hta kutoroka kazini aje akupe

mark my words.
 
Umenikumbusha mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] double G alishanileteaga kazi kali sana pale duuh Rhode
😅😅😅 Sasa hivi ni DJ Tabata.. Amina unamjua ? alikuwa mzuri white ana shape japo majuzi nimepita kaisha sijui kapatwa na nini.. sikutamani hata kumbushiaa 😅😅😅😅.. kale ka Nyarwanda vipi ulikasomaaa...

Shunie mzimaa boss wangu 👋👋
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Sasa hivi ni DJ Tabata.. Amina unamjua ? alikuwa mzuri white ana shape japo majuzi nimepita kaisha sijui kapatwa na nini.. sikutamani hata kumbushiaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].. kale ka Nyarwanda vipi ulikasomaaa...

Shunie mzimaa boss wangu [emoji112][emoji112]

Amina nimepita juzi yupo kirima pale kapungua kinoma mdogo waje ndo naona kidogo yuko vizuri….kipindi kile rhode palikuwa pamoto sana alikuwepo mmoja ana mahips hivi jina lake nimelisahau kidogo….double G alikuwa mwana sana Yule dogo
 
Kweli kapungua, sema nilimla kipindi yupo na mwili wake mzuri ule... mdogo wake ypo sawaaa.. wala wa saloon opp na rhode pale nao nime pumzikia sanaaa.. kina angel
 
Kweli kapungua, sema nilimla kipindi yupo na mwili wake mzuri ule... mdogo wake ypo sawaaa.. wala wa saloon opp na rhode pale nao nime pumzikia sanaaa.. kina angel

Kuna saluni moja nikiwa singida inakuwa iko kwa nyuma rhode ina mademu flani weupe hivi iko mitaa ya ile bar inaitwa serengeti wale mademu wanauza sana naniliu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kuna saluni moja nikiwa singida inakuwa iko kwa nyuma rhode ina mademu flani weupe hivi iko mitaa ya ile bar inaitwa serengeti wale mademu wanauza sana naniliu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Wadada wa saloon vipengele sanaaa 😅😅😅
 
Back
Top Bottom