mkarimani feki
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 302
- 1,212
una uhakika mkuu!ulitumia mganga gani ?Sio kweli,na waliopata bila connection au mjomba unasemaje hapo
pagumu sana hapoDuuuh
Mbona tupo huko hakuna Cha mganga wala God father'suna uhakika mkuu!ulitumia mganga gani ?
aminisha watu ,hongera kwako mkuuMbona tupo huko hakuna Cha mganga wala God father's
hoja nzuri kitaa jua kali balaaNafasi chache waombaji wengi mnoo.Tatizo la ajira za kuomba kuajiriwa ni janga kitaifa.Kwa kulitambua hilo kuwe na siku ya "Maombolezo ya ajira"!Iadhimishwe siku moja kabla ya May_day/Labour day.
unafikiri kupata kazi TISS ni rahisi ?Sijui nikupangie hata taasisi bora ? Utashangaa sana hasa hapo ni 4 tu za maana ...
TISS ni ndoto na watu wanapata wanachomolewq tu kweny ofisi yeyote kutokana na nidhamu zao...Wanapelekwa mafunzo.
Uzuri wa TISS ni mmoja pesa za kutosha kazi chache ...Mda wa free ni mwingi ukipata tasks nzito ujue kuna posho za ziada.
Ushasema bongo dili babu. Bila dili mixer ma connection hupat kitu mzee... Bongo by Dj Yusuph.Sio kweli,na waliopata bila connection au mjomba unasemaje hapo
sio poa mi nawanangu tumezungusha sana bahasha ,na nauli za usahili hukoUshasema bongo dili babu. Bila dili mixer ma connection hupat kitu mzee... Bongo by Dj Yusuph.
Waliopata bila namna n wachache sn
Acha uoga kijana.watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za buhigwe ,namtumbo na simiyu ama na mashirika uchwara .
ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1.TRA
2.BOT
3.DCEA
4.TISS
5.IMMIGRATION
6.NBS
7.TFRA
8.HAZINA
9.WORLD VISION
10.TCRA
11.DANISH REFUGEE COUNCIL
Sijui nikupangie hata taasisi bora ? Utashangaa sana hasa hapo ni 4 tu za maana ...
TISS ni ndoto na watu wanapata wanachomolewq tu kweny ofisi yeyote kutokana na nidhamu zao...Wanapelekwa mafunzo.
Uzuri wa TISS ni mmoja pesa za kutosha kazi chache ...Mda wa free ni mwingi ukipata tasks nzito ujue kuna posho za ziada.
Maisha,nyakati,uhitaji,elimu na mabadiliko kadhaa kidunia yanachangia.Nakumbuka nilipomaliza kidato cha nne tu,wiki iloyofuata nikapata kazi ya ukarani kwenye kampuni ya tumbaku/Dimon.Na hata nilipohitimu kidato cha sita baada ya mwezi nikaajiriwa wilaya fulani Nyanda za juu kusini.Na bado nikawa siitaki wilaya hiyo kwa visingizio vya kitoto.Je,leo kuna mtu atafanya hivyo?si
sio poa mi nawanangu tumezungusha sana bahasha ,na nauli za usahili huko
Lakin usiache kuaply sehemu kisa huna connectionUshasema bongo dili babu. Bila dili mixer ma connection hupat kitu mzee... Bongo by Dj Yusuph.
Waliopata bila namna n wachache sn
Utakuwa na nyota kali sanaMbona tupo huko hakuna Cha mganga wala God father's