Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za buhigwe ,namtumbo na simiyu ama na mashirika uchwara .

ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.

mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini

1.TRA
2.BOT
3.DCEA
4.TISS
5.IMMIGRATION
6.NBS
7.TFRA
8.HAZINA
9.WORLD VISION
10.TCRA
11.DANISH REFUGEE COUNCIL
 
Attachments

  • IMG_20240113_003425.jpg
    IMG_20240113_003425.jpg
    31 KB · Views: 9
Kama ipo ipo tu... na kama haipo haipo tu!

Wengine mamikosi na kutazamwa macho mabaya tangu wadogo kunawapa mikosi na manyota kufifia tangu wadogo... imagine familia yenu kwenye ukoo peke yako ndo upate shahada, wale ndugu lawama watakutazamaje?

Baraka na mamikosi na mabahati mabaya yanaanzia makwetu.
 
inawezekana pia chief
 
inawezekana pia chief
Imagine ndugu au family member anamuendea mtoto wa mwenzie kwa wataalam mbalimbali ili akwame maishani mwake. Aishie kuwa kama kishada angani anamangamanga tu!

Asipate kazi, wala asionekane (Wenyewe wanaita kuizima nyota)

Mwisho wa siku watimize furaha za nyoyo zao tu!

Yapo hayo bwamdogo... Ubinadamu kazi
 
usawa huu nani afanye hivoo, watu tuna boksa mbili miezi nenda rudi kwa sababu ya msoto

Na kingine Cha kukusaidia Mwamba, be positive. Badili mtizamo wako kuhusu maisha. Ukiamini sana kwamba hauwezi kupata kazi bila connection, Kila kitu kinajiweka hivyo.

Kuwa mtu wa matumaini, utakutana na fursa. Hata kama una boksa mbili, hakikisha ni safi na wewe uko maridadi.

Lucky=opportunity + Preparedness (readiness)
 
sahihi chief
 
Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.

Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.

Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini

1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
TPDC. Hapo TCRA kama hauko vizuri kichwani basi uwe mtoto wa Kigogo
 
Back
Top Bottom