The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
sahihi chief
Ipo siku, haya mateso yote yatakua historia. Utakua sehem unasema nimimi huyu huyu niliyekua naona mambo hayawezekani bila connection Wala ndumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahihi chief
Mikao 6 ndan ya miaka kumi wakt tamisemi unakaa miaka 10 /20 unahamishiw kijiji kinachofata *****[emoji850][emoji850][emoji1781][emoji1781][emoji55][emoji55][emoji2][emoji2]Nakuambia sasa hao jamaa pesa ipo sana...Tumekaa na jamaa alifanya kazi mikoa kama 6 ndani ya miaka 10 tu...Ana pesa kinoma ila ni kada.
Na DPWOngeza na TPA
Mbona watz wengi wanaloga lakini hawafanikiwiNdumba kal
hahaaaMikao 6 ndan ya miaka kumi wakt tamisemi unakaa miaka 10 /20 unahamishiw kijiji kinachofata *****[emoji850][emoji850][emoji1781][emoji1781][emoji55][emoji55][emoji2][emoji2]
Huku ninadhani kigezo ni kobazi
5000000000:1 probability ,Hmna ukweli wowote hapo.
Huenda wengi wanapata kazi kwenye hizo taasisi Kwa connection au nguvu za Giza kama unavyodai, lakini pia wapo wanaopata Kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
nimekupata ndugu yanguImagine ndugu au family member anamuendea mtoto wa mwenzie kwa wataalam mbalimbali ili akwame maishani mwake. Aishie kuwa kama kishada angani anamangamanga tu!
Asipate kazi, wala asionekane (Wenyewe wanaita kuizima nyota)
Mwisho wa siku watimize furaha za nyoyo zao tu!
Yapo hayo bwamdogo... Ubinadamu kazi
Labda unaishia kuwaona immigration wakiwa maofisini huko ila hujajua wanaajiri vipi, kweli ajira ni za shida lakini hamna watoto wa vigogo immigration wengi ni watoto tu kutoka familia za kawaida na familia maskini watoto vigogo ni wachache sanauna utani wewe
hahahaaaHuku ninadhani kigezo ni kobazi
nisiseme sana chief,yawezekana uko sahihiLabda unaishia kuwaona immigration wakiwa maofisini huko ila hujajua wanaajiri vipi, kweli ajira ni za shida lakini hamna watoto wa vigogo immigration wengi ni watoto tu kutoka familia za kawaida na familia maskini watoto vigogo ni wachache sana
Kama wameloga na ukagundua kwamba wameloga basi hizo dawa haziwezi kufanya kazi.Mbona watz wengi wanaloga lakini hawafanikiwi
wengi tulijua u teacher na askari5000000000:1 probability ,
Tatzo hizo kaz zamn tunamalz shulen unakuta hata hatuzijui kbsa kwahyo waliokuw ndan wanavuta tuu
So unailoga taasisi ili upate kaziKama wameloga na ukagundua kwamba wameloga basi hizo dawa haziwezi kufanya kazi.
Kuloga inatakiwa iwe siri kali kati ya mlogaji na anga.
Sipingi kabisa, hiyo probability kuwepo inamaana inawezekana.5000000000:1 probability ,
Tatzo hizo kaz zamn tunamalz shulen unakuta hata hatuzijui kbsa kwahyo waliokuw ndan wanavuta tuu
Unataka elimu hiyo?So unailoga taasisi ili upate kazi
Kigezo cha Kobazi kilikua mandatory enzi za Ndugu Dr. Ramadhan Kitwana DauHuku ninadhani kigezo ni kobazi
Kabisa...angalau matumaini yapo...kuliko hao WASHIRIKINADuh... umeamua kuwa machinga?